Today is MY Birthday...

ukiangalia avatar yangu ndie mimi huyo mkuu.....
anyway asante ubarikiwe sana

Oopppss i thought u r ........let me end up here
Congrats my young bro and may God be with you and bless you a lots to live the same life as ur and be wise as you are.
happy Birthday Brother
 
Wakuu!
namshukuru Mungu kwa kuendela kunipa pumzi na uzima wa bure, leo nimegonga miaka 24.

Dah kweli JF ina mambo, sikuwahi kudhani kwamba utakuwa kwenye umri wa just over serengeti boys!!

Anyway, Happy birthday "shemeji" yangu toka Ikungulyambeshi.
 
muraa unataka kuleta vita???
Original kutoka Ikungulyambeshi hii mpe salamu DADA yangu.

Dah kweli JF ina mambo, sikuwahi kudhani kwamba utakuwa kwenye umri wa just over serengeti boys!!

Anyway, Happy birthday "shemeji" yangu toka Ikungulyambeshi.
 
hahaa nakumbuka, ni kwenye ile thread ya Binamu anataka kunichukulia kitoto changu.. wakati yeye ni 27 na mimi ni 24...<br />
umekumbuka???

Nakumbuka sana tu! Sasa leo usimuwazie huyo binamu yako asije kukosesha raha ya besdei!!
 
aaaa nishampotezea kitambo halafu leo kawa mdogo ile mbaya, sijui na yeye ni Member humu JF halafu kaiona hiithread??

Nakumbuka sana tu! Sasa leo usimuwazie huyo binamu yako asije kukosesha raha ya besdei!!
 
:confused3:

Birthday yote hii unataka kunilisha mchanyato?

Pamoja sana mkuu, sasa kwa kuwa nipo shambani huku, mihogo na mapera yako tayari...kuna vile matango pori na mabibo nitakuletea tupike "ULAKA"...TUNYWE TUFURAHI.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom