Toa maoni yako kwenye katiba mpya.

dudupori

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
1,793
1,903
Yafuatayo ni maoni ya baadhi ya wadau...
Dereva: trafiki wacwepo barabarani
Mwanafunzi: hesabu zifutwe mashuleni.
Mfanyabiashara: TRA itaifishwe.
Mlevi: baa ziwepo maofisini.
Mdau na ww ongezea maoni yako.
 
kila mTanzania mwenye umri chini ya miaka 18 anayezidi kimo cha urefu wa futi tano alipiwe bili ya maziwaq lita tano kila siku. ilikuhamasisha watanzania kikua na urefusha vimo vyao.
 
kaka lita tano kwa cku hata ndama bado hajafikia hicho kiwango. Hee heee
 
Waziri ama mbunge yeyote yule atakaye vurunda au atakayeshindwa kutimiza ahadi zake kwa wapiga kura wake, apigwe chini mara moja na ahukumiwe kifo kwa kukatwa shingo yake KIDOGO KIDOGO kwa msumeno MPAKA AFE!
 
Yafuatayo ni maoni ya baadhi ya wadau...
Dereva: trafiki wacwepo barabarani
Mwanafunzi: hesabu zifutwe mashuleni.
Mfanyabiashara: TRA itaifishwe.
Mlevi: baa ziwepo maofisini.
Mdau na ww ongezea maoni yako.

condom ziwekwe maofisini kwa dharura...
 
Waziri ama mbunge yeyote yule atakaye vurunda au atakayeshindwa kutimiza ahadi zake kwa wapiga kura wake, apigwe chini mara moja na ahukumiwe kifo kwa kukatwa shingo yake KIDOGO KIDOGO kwa msumeno MPAKA AFE!

Hahaaaaaa dah! Mkuu unaonekana una Hasira...Na huyo mkata shingo akikosea na kumkata fasta fasta naye akatwe kidogo kidogo...
 
  1. Makao makuu ya Nchi yahamie Dodoma kuondoa msongamano Dar
  2. Elumi ya msingi na sekondari itolewe bure
  3. Wabunge wasipewe uwaziri
  4. Spika wa Bunge awe mtu huru asiye na mahusiano na chama chochote cha siasa
  5. Katiba itoe uhuru kwa mtu yoyote kugombea nafasi yoyote ya uongozi bila ya kupitia katika chama cha siasa
  6. Ipatikane Serikali moja ya Jamhuri ya muungano ya Tanzania, Rais atatoka upande wowote kulingana na sifa yake.
  7. Itungwe sheria kali dhidi ya ufisadi-miaka hadi 30 jera na mali za mafisadi zitaifishwe wakitoka jera wachapwe viboko hadharani.
  8. Magereza yawe vyo vya mafunzo na si kutesa watu-yatumike kwa kuzalisha mali kwa kutumia dhana za kisasa.
 
soma vzuri ni jukwaa la nini me nahic umepotea njia
 
Back
Top Bottom