To You..

mmmhh
si waelewa my dear
maji ya kuoga lazima
niyachemshe kwanza..
maji ya baridi mmmmhhh
Asante sana ngoja TF aingie kipande hii ...
heheeh usjali, The Finest kaletewa baskeli mpya na mjombaake kutoka Sri Lanka leo, kwahiyo yuko bize na baskeli yake anatanua kijijini. wee jimwage tu.
 
heheeh usjali, The Finest kaletewa baskeli mpya na mjombaake kutoka Sri Lanka leo, kwahiyo yuko bize na baskeli yake anatanua kijijini. wee jimwage tu.

hahahahahahha lol
umeanza aee dahhh
haya bwana ..
dahh umeniwekea picha
mbaya kichwani ni kama namwona TF
anapiga mruzi na baiskeli yake anasukuma mlimani hahahahh lol
 
hahahahahahha lol
umeanza aee dahhh
haya bwana ..
dahh umeniwekea picha
mbaya kichwani ni kama namwona TF
anapiga mruzi na baiskeli yake anasukuma mlimani hahahahh lol

Halaf utashangaa yeye ndio selebriti wa kijiji, wanamuita misun chakraboti.
 
Halaf utashangaa yeye ndio selebriti wa kijiji, wanamuita misun chakraboti.

hahahaahh lol
hapo kakupigia suspenda na jacket
babu kubwa rangi ya njano na maraio
hahahhaahhaha lol jamani sisi wabaya
lakini chamoto kinakuja akirudi humu hahah lol
 
hahahaahh lol
hapo kakupigia suspenda na jacket
babu kubwa rangi ya njano na maraio
hahahhaahhaha lol jamani sisi wabaya
lakini chamoto kinakuja akirudi humu hahah lol
aaargh hawezi kukasirika bana, hapa ndio tumeipamba sana CV yake, atashukuru sana yaani.
 
Breaking News: Klorokwin In Love lol

Hakika amesikia, kiliocho kakipata
Anatikisa mkia, moyoni kakupakata
Raha anaisikia, mawingu umeyakata
Sema baba usikike, usijekufa kwa kihoro............................
 
Back
Top Bottom