To you Power Breakfast: Fumbo mfumbie mjinga, na ufumbapo usiwe mjinga!

Ila Hando msimshangae kumbuka kuwa yeye pamoja na kibonde walikuwa ni ma-MC kwenye BDay ya JK na wakaombwa sanaa
wawe wana isifia ccm kwa nguvu ZOTE

Na muda mrefu sijawahi sikia clouds FM wakiikosoa CCM... Ila by now CDM ni adui NO moja wa CLOUDS MEDIA
 
Hao jamaa ni wanafiki sana, kama mnakumbuka vizuri hata wakati wa kampeni za urais walitumika sana na upande flani, wakawa wanabwabwaja hovyo tu.Shame on you HANDO.
 
Back
Top Bottom