Uliyoyasema tumeyasikia,ila umejificha,hatukuoni wala hatuwezi kukujibu,si uko studio ndani huko ambako mko peke yenu mlolishwa sumu mkakolea.Upande wa pili hawapo,mna uhuru wa koungea mnachokitaka,hakuna wa kuhoji,kujibu,kuuliza.Mnaongea mnachekacheka,mnadhihaki,mnatukana,mnadhalilisha.Hakika mtu akikuskilizeni,kama ana mtindio kama nyie! atasema Herooos!
Lakini,you gays (not guys),are loosing credibility,yourself,your employer and your business.We know you ar working at the best interest of your employer,and every employee is expected to do the same. Lakini chungeni msifanye hivyo at the expense of the community and obvious at the expense of your own fate.
Kama kweli mna nia ya kuelimisha,tokeni nje,hadharani tujibizane hoja kwa hoja,hapo ndipo jamii itajua pumba ipi,mchele upi.Kujificha chumbani unatupa mawe kwa dirishani afu unafunga dirisha hakuonyeshi ukomavu wenu,ni dalili za woga na kwamba hamuviwezi vita,hamna silaha za kutosha kuingia vitani.
Mnaonaje mkiita upande wa pili nao wawe hapo chumbani wakijibu hoja zenu,wakijilinda,wakijitetea,wakieleza umma juu ya tuhuma zenu? Do you think you have perfect information? Perfect info can not be obtained by stumpen like you hando,you are very young to know things at depth.
Radio Clouds ni ya chama gani? kama ni ya chama cha siasa tujuzeni,ni wakati muafaka tukajua hilo.Hando inawezekana hujui ni watangazaji wangapi Rwanda na Burundi wamefungwa maisha gerezani,wamehukumiwa kunyongwa kwa sababu ya maneno waliyoyasema Studio,yakaleta mauaji. Nahisi unajua ila kwa sababu tu ya shida za maisha ya leo,unajitoa sadaka bila kuitizama kesho.
Hando,life changes,envirom go changing,people change,situations change,time is not fixed.Things never remain the same.Am worried about you and your fate.