To You BelindaJacob

Usibadilishe hii avatar bila ruhusa ya Board of Directors ya JF na uwe na sababu nzito za kufanya hivyo, maana sijui kama kuna avatar nyingine itayoendana na ID yako ya BJ :) ...nadhani umeona mechi ya leo na Wanigeria katika Kombe la dunia la Wanawake kule Germany. Nigeria wamefungwa na Wafaransa 1-0 lakini Nigeria walikuwa na nafasi nzuri za kushinda kama sio kutoa draw.

Orait orait, will stick to this mana pia naipenda kiukweli..imeshakuwa 'branded' ha ha!!..Thanks
Sijaona mechi BAK yani leo niliangalia Formula 1 halafu sijaangalia sport zingie..Lewis Hamilton hivyo hivyo, Vetttel nae kazidi kushinda GP na yupo mbele point nyingi hadi ananiboa!!
I hope hukupata presha na hiyo mechi as I assume ulikuwa unashabikia Nigeria, ha ha!!..Bye for now!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK

dah! huku BJ, nimekatiza hapo pembeni naona shosti, dena, AD na Lizzy, sjakaa vizuri nakuta sred la michelle, mara nikaona la faizafoxy, khaaaa! sjui kabaki nani namimi nimuanzishie la kwangu?
 
Orait orait, will stick to this mana pia naipenda kiukweli..imeshakuwa 'branded' ha ha!!..Thanks
Sijaona mechi BAK yani leo niliangalia Formula 1 halafu sijaangalia sport zingie..Lewis Hamilton hivyo hivyo, Vetttel nae kazidi kushinda GP na yupo mbele point nyingi hadi ananiboa!!
I hope hukupata presha na hiyo mechi as I assume ulikuwa unashabikia Nigeria, ha ha!!..Bye for now!!

Mie na Wafaransa wapi na wapi BJ! :) ...niliwafagilia sana Waafrika wenzetu lakini ndio hivyo tena naona leo haikuwa siku yao.....na group A walilokuwemo ni gumu mno sijui kama watapita maana kuna mabingwa watetezi Germany, France, Canada na wao...Msimu kwa Hamilton nadhani ndio umeshakwisha maana yuko nyuma kwa points nyingi sana labda itokee miujiza.

Leo nilichuuzika nikadhani kwamba Wimbledon wangecheza ili niwaone Serena na dada yake wakifanya vitu vyao kumbe leo ilikuwa ni mapumziko, round of 16 itaanza rasmi kesho I hope akina Williams wataendelea kufanya vitu vyao, ikitokea wakiingia fainali wenyewe itakuwa bomba sana hasa ukitilia maanani Serena hajacheza kwa mwaka mzima kutokana na kuumia na pia kuwa mgonjwa (ugonjwa ambao ungeweza kumfanya arudishe namba) na dada yake hajacheza kwa karibu miezi saba sasa kwa kusumbuliwa na goti.

Nafurahi kusikia hiyo kwamba avatar imeshakuwa branded rasmi hahahahah lol! usiku mwema.
 
Serena na Venus hawatakutana fainali watakutana kabla wapo upande mmoja wa draw na hiyo pia itategemea wakishinda wote.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu Uporoti01 juzi nilipokuwa naangalia mechi kati ya Serena na yule Mrusi Kirilenko nilimsikia mtangazaji akisema kwamba kama wataendelea kushinda basi watakutana kwenye final halafu nimeangalia schedule kule BBC wanaonekana hawako upande mmoja. Je kuna makosa mkuu?
BBC Sport - Tennis - Women's singles draw

Fourth Round
7 Serena Williams
9 Marion Bartoli
Pre-Match
Fourth Round
1 Caroline Wozniacki
24 Dominika Cibulkova
Pre-Match
Fourth Round
8 Petra Kvitova
19 Yanina Wickmayer
Pre-Match
 
Sijaangalia schudule lakini nilisoma comment BBC website hawatakutana fainali,nitachunguza.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sijaangalia schudule lakini nilisoma comment BBC website hawatakutana fainali,nitachunguza.

Kwa ratiba kama nilivyoiweka hapo huu kama wataendelea kushinda hawatakutana mpaka kwenye final, lakini huwezi kujua labda kuna makosa mahala fulani. Shukrani Mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom