To VC and DVC of Sokoine University

Hiyo ndiyo reflection ya uwozo tulio nao. Ndiyo maana kigezo cha usomi huwa sipendi kutumika sana katika kuchagua kiongozi. Ingawa kiongozi mzuri na msomi ni lulu, gharama ya kuwa na kiongozi mbaya msomi ni kubwa zaidi.
 
Point taken,
Mtoa mada ni wewe uliyeandika au kuna Mwalimu pale SUA kakupa ubandike hapa just curious!!

Kwakweli mimi nimefikisha Ujumbe tu maana sifundishi SUA mkuu....
 
Semanao ,

What dou you mean by " that position was created purposely for him ?. It looks like the guy got all the credentials required for that position according to what you have stipulated . I don't think it will be fair to say that he shouldn't have got that job simply because his father and Msolla are friends, please put yourself in his position . Also , i totally disagree with those who have memorized that you need to be 50 years old and have alot of experience in order to be a director. I think people should be judged based on their perfomance and not otherwise.
 
Wakuu, wakati haya yanaendeela, chuo kinashika nafasi ya 86 kati ya vyo 100 barani afrika, huku Mogadishu University ikikipita kwa mbali, (40) na University of dar es salaam ni ya 21.

Pamoja na sababu nyingine nashawishika kuamini kuwa hii mambo ya nepotism imechangia sana,,,ndo inazaa rushwa na ubahirifu wote huu

Ukiangalia website ya chuo, linganisha na vyuo vikuu vingine, inatia shaka kama kweli hawa watu wako serios..nakubali kuwa imekuwa improved kwa sasa lakini contentwise bado kabisa! watu wametoa maelezo ambayo hayajitoshelezi......badi ipo kazi kubwa kama SUA inataka kusonga mbele

Haitoshi kuanzisha degree mpya kama uyoga, huku kukiwa hakuna waalimu wa kutosha wala vifaa vya kufunundishia, I mean hadi sasa watu wanatumia overhead projector wakuu? chuo kinashindw akununua a few laptops na LCD projectors kwenye faculty na departments chache zilizopo pale?

Quality ya elimu hapo iko wapi?

http://www.webometrics.info/top100_continent.asp?cont=africa
 
Semanao ,

What dou you mean by " that position was created purposely for him ?. It looks like the guy got all the credentials required for that position according to what you have stipulated . I don't think it will be fair to say that he shouldn't have got that job simply because his father and Msolla are friends, please put yourself in his position . Also , i totally disagree with those who have memorized that you need to be 50 years old and have alot of experience in order to be a director. I think people should be judged based on their perfomance and not otherwise.

I sorry that you do not know what is happening at SUA. Watu wamekuwa wanapata posts kwa vile wanauhusioano na fulani na wakubwa wa pale. Wengine wamekuwa lecturers kwa vile baba zao walifundisha pale, wengine kwa vile wameoa watoto wa lecturers n.k. Interview ya Bangu mwenyewe data za ndani zinadai alibebwa from the begining wakati alipo-apply kuwa Economoc Planer. Aliyeshinda interview alikuwa Graduate wa Mzumbe (jina nalihifadhi). Then akapelekwa China haraka haraka kuchukua MA.
 
I sorry that you do not know what is happening at SUA. Watu wamekuwa wanapata posts kwa vile wanauhusioano na fulani na wakubwa wa pale

Hii ni fact iliyowazi kwa waliopita ama kufanya kazi SUA wanajua hili, wengine hupata ajira kwa kuwa ni wapenzi wa wakubwa pale ama baada ya kutoa ngono....pathetic....
 
At this forum is where we get the truth of every evil done by our leaders. Scndals for BOT,Buzwagi contract,tanesco scandal,Richmonduli and all other dirty scandals info originate from this forum.

We're tied now we need to speak public although they pretended not hear what we bring out to the public,this time they will get it. We expect more from you
 
Unayoyasema Mr.Zerro sio uongo,ni kweli kabisa, miye nilisoma faculty Vet, Dr.Muhairwa, Dr.Tutufwe,Dr.Hoza, Dr.Kipanyura, Dr.Kimaro.

Hawa ni mifano halisi ya watu waliopata kazi SUA kwa migongo ya watu. Mfano Kwenye interview ya Dr.Tutufwe alishindwa vibaya na Dr.Seth lakini Prof.Gwakisa akampigia pande Tutufwe coz his home boy.

Mwingine alimpa mimba mtoto wa Director wa wizara ya mifugo wakati huu, akapewa nafasi ya TA (Muhahirwa huyu). Coz this is an open forum, we speak the truth. Kwahiyo Mr.Zerro usishangae sana.
 
Shukurani,

You are very right. Nafikiri vet ndiyo inaongoza kwa kubebana, then, then Forest. Food Science and Home Economics wao naona walishasimamisha ajira. Maana najasikia lecturer mpya that side may be recently. No wonder wako ranked very 80 something!!
 
Unayoyasema Mr.Zerro sio uongo,ni kweli kabisa,miye nilisoma faculty Vet,Dr.Muhairwa,Dr.Tutufwe,Dr.Hoza,Dr.Kipanyura,Dr.Kimaro. Hawa ni mifano halisi ya watu waliopata kazi SUA kwa migongo ya watu. Mfano Kwenye interview ya Dr.Tutufwe alishindwa vibaya na Dr.Seth lakini Prof.Gwakisa akampigia pande Tutufwe coz his home boy. Mwingine alimpa mimba mtoto wa Director wa wizara ya mifugo wakati huu, akapewa nafasi ya TA (Muhahirwa huyu). Coz this is an open forum, we speak the truth. Kwahiyo Mr.Zerro usishangae sana.

Hebu angalia vyuo vyote vya Elimu juu vya serikali Prof Msolla ameweka jamaa zake

University of Dodoma DVC Prof Kinabo from Faculty of veterinary SUA

Mzumbe University DVC Prof Mugasa from Faculty of veterinary SUA

Ardhi University (UCLASS) Prof Mwageni from SUA as well

Natop administration ya SUA wote nipuppet wa Msolla, Profs.. Kambarage, Monela na Pereka
 
Acheni kuwaonea wivu wenzenu! Kama wana uwezo na ni Maprofesa wote ungetamani upewe wewe? Hampewi ng'o!
 
Na hapo ndo utagundua kuwa Msolla anaendesha vyuo vikuu vya umma kwa REMOTE. Huyu jamaa tatizo lake ni pale upeo wake wa kufikiri unapokomea basi mtu mwingine hawezi kuweka input mpya. Na usitegemee hawa nma-DVC wafanye kitu ambacho Msolla hakipendi.
 
Acheni kuwaonea wivu wenzenu! Kama wana uwezo na ni Maprofesa wote ungetamani upewe wewe? Hampewi ng'o!

Hivi kwa akili za kawaida tu unataka kusema Maprof wa SUA ndiyo wanauwezo tena only Vets. This cannot be right. Watu wanatafutiana mlo nawe unatetea. Their connection to Msolla is well known!!!
 
Hebu angalia vyuo vyote vya Elimu juu vya serikali Prof Msolla ameweka jamaa zake

University of Dodoma DVC Prof Kinabo from Faculty of veterinary SUA

Mzumbe University DVC Prof Mugasa from Faculty of veterinary SUA

Ardhi University (UCLASS) Prof Mwageni from SUA as well

Natop administration ya SUA wote nipuppet wa Msolla, Profs.. Kambarage, Monela na Pereka

Umesahau mwingine amepelekwa DVC kule Open University. Ni vet pia
 
Umesahau mwingine amepelekwa DVC kule Open University. Ni vet pia

Yeeah anaitwa prof Lugano Kusiluka huyo naye alikuwa faculty of vet SUA, ni homeboy wa Msolla sasa hivi ni DVC wa open university amechukua nafasi ya prof Uswege Minga ex SUA vile vile tena Vet ambaye amepata kazi FAO - Nairobi
 
Hivi wajameni Maprofessa wote hao nani amebaki kufundisha? Au wanafanya part-time?

Sasa mwenzetu ulitaka u-VC apewe nani kama siyo maprofessors. Kwenye academics hicho ni mmoja ya cheo cha juu. Swari ni kwamba kwa nini wote wanatoka SUA halafu ni Vet??????
 
I think it is high time now people stop thinking rubbish! The issues of SUA posted here was openly discussed at SUA LAN and a person who posted it has done so three times now, in anonimity.

I am surprised to find the same thing posted here by a person with a name going by USHIROMBO! I am not sure who you are and the level of your education, but issues at SUA are connected to power struggle much like politics for struggle of control of State House. Apparently a person who posted it at SUA LAN has been identified by virtue of his writings and comments.

In short, all what is said, has been an issue of discussion at SUA since last year and there nothing new. This forum therefore should strive in produce things of high intellectual resolution for discussion instead of nonsense and rubbish as posted by USHIROMBO.

Let us emulate MICHUZI.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom