To KUB Mh. Mbowe

Mtanzania haswa

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
663
99
Mh. Mbowe nategemea ktk swali kwa waziri mkuu leo 2 feb swali na nani kawadanganya watanzania kati ya yeye PM na Rais? na nini hasa tuelewe watanzania? na pia kuhusu hili suala la madr kuondoka nchini je serikali inawambia nini watanzania?
 
hivi kuna siku pinda kashindwa kujibu swali? hahahahaha, ngoja liulizwe kisha utasikia.
 
serikali ...inashirikiana na.....kufanya mchakato.....ili kushughulikia.......hata hivyo......mapendekezo haya nitayafikisha kwa rais akirudi.....
 
Eeh unadhani atajibu nini wakati ye mwenyewe hana mda kujua nchi yake inendaje hana lolote alijualo.
 
haha haa hapa patamu sana, watu mshajua atajibuje kabla hajaulizwa, dah pm sanaa zake ziko ukingoni 4yrz ni parefu sana!
 
akiona gumu sana ataanza kulia kisha ndio imetoka sijui chozi lake ndio jibu la swali aliloulizwa? USANII MTUPU
 
serikali ...inashirikiana na.....kufanya mchakato.....ili kushughulikia.......hata hivyo......mapendekezo haya nitayafikisha kwa rais akirudi.....
halafu ataanza kulia wiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii maswali mengine yanatia uchungu hasa unapoulizwa posho za wabunge ambazo ni maalum kwa ajili ya kuzigawa kwa wapiga kula wetu ambao ni omba omba kama ilivyo utamaduni wetu wa taifa letu tuliojiwekea kuombaomba,hata pasipotakiwa kwa mfano vyandarua, ni utamaduni tu na hatuwezi kuuacha kwa dhati na dhamira tuliojiwekea watanzania. na makofi yatafuata kumpongeza PM.
 
Tumeunda kamati yakufuatilia hili jambo...
Muda si mrefu serikal itakuja na jibu, naomba mh mbowe tupe muda kidogo.
 
ataanza kulia kwanza then utasikia mimi mwenyewe linanikera...... tunalifanyia kazi.... tunajipanga...... tupo kwenye mchakato
 
Leo Mbowe alitakiwa awe wa kwanza kuuliza maswali kwa waziri mkuu, na hasa suala la POSHO na MGOMO WA MADAKTARI ila SPIKA kasema Mbowe hayupo , najiuliza amekwenda wapi kama sio hujuma hiii,
 
Toka Mkutano wa 5 uliopita nimeona PM amekuwa busy na kidole chake kimoja ama pale anajibu swali au anapokuwa anatafakiri sasa nilishindwa kujua hicho kidole kina nini mpaka baada kuja kuambiwa na kuhakikisha kuwa ameanza naye kuvaa pete.

Japo sina uhakika na madhumuni ya uvaaji wa pete hiyo manake sikuwahi mwona Pinda akivaa pete nilitegemea mpaka kufikia Mkutano huu wa 6 basi atakuwa ameshazoea pete yake hiyo ili asiwe anaishikashika tena ila cha kushangaza mpaka muda huu naona bado tu mambo ni yake yale. Mi nadhani kwa mtu wa kada yake kama kashindwa kuizoea basi ashauriwe aachane naye kabisa.
 
Mama Spika anamsaidia kujibu karibu kila swali analoulizwa WM. Na maswali yenyewe leo hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom