To avoid problems in a relationship, marry your best friend (somebody who knows you)

Oldest proverb: marry a person who can make you laugh, because later on in life the social skills will be crucial.

kama wewe sio rafiki yangu, we cannot ever date aisee. Ngoja nisome uzoefu kwanza.

My Dada kuna tofauti kubwa kati ya rafiki na best friend. mimi nina marafikh wengi lakini kwa sasa simjui kwa hakika who is my best friend.

Lara 1 she about to become my business partner and fiancee but not best friend she is more than that.
 

Kama wewe huwezi, wenzio wanaweza. uweke zipu kwenye sarawili yako kaka, manake kama ni hivyo tungelala na wangapi sasa?

tatizo lenu wen a guy makes u laugh it doesnt end there...ur p.ussy lips laugh in tandem



Hahahaha, i thought we are more friends in JF kuliko huko FB.
Sasa inabidi ujivute uwe my best friend, lol
Me and you are friends on Facebook (and that's according to you...)

So I'm chomping at the bit for us to date....slurp slurp....:tonguez:


i beg to differ, my dear brother
My Dada kuna tofauti kubwa kati ya rafiki na best friend. mimi nina marafikh wengi lakini kwa sasa simjui kwa hakika who is my best friend.

Lara 1 she about to become my business partner and fiancee but not best friend she is more than that.
 
Am the opposite,after ten years of friendship,i married my high school sweetheart,had two lovely kids.After ten years of marriage we ended up telling her ".................hata nikifa usije kwenye msiba wangu.........."It sad story but very true.Refer my thread Kusamehe.cc Karucee

So sorry,all marriage have conflict it depends how yuo two handle them,outsiders can't solve them and if involved there wisdom will be part only fraction of solution.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Yaweza kuwa kweli jamani. Mi nimeolewa. Aliyenioa alikuwa kakangu kipindi nasoma o level. Alikuwa nanifundisha. Kufundishana huko kulijenga ukaribu mkubwa sana ambao ulipelekea urafiki wetu. Tuliendelea na urafiki wetu were mwisho wa siku sijui iligeukaje from kaka to ........ Basi ndo hivyo tumeoana na sasa tuna mtoto mmoja. Namshukuru Mungu tunaenjoy maisha ya ndoa.
 
Natalia unatisha swaga zako, nachokupenda vi threads vyako vifupi fupi na mara nyingi heading yake haiendan na maneno ya ndani,, na ukianza kuweka comment ndo unaharibu kabisa upepo..
You are right mkata kiu......
Kuwa rafiki na spouse wako haimaanishi mnatakiwa kuwa best friends kabla hamjaoana, but mkiwa ndoani.....
I must confess that sikuolewa na my best friend, I mean wakati nataka kuolewa nilikuwa na marafiki wengine ambao tulikuwa karibu sana but not lovers........ My husband was my good friend but not best friend. Baada ya kuoana na kuwa karibu tumekuwa marafiki saaanaaaaaa, I can now say yeye ni rafiki yangu nambari moja.
Hata ambao walio kwenye mchakato wa kuoa/kuolewa, unaweza kuoa/olewa na mtu ambaye siyo rafikiyo saana, ila mnachotakiwa kukifanya ni kuwa marafiki sana mkishakuwa ndoani, hapo waweza sema ndoa itadumu..
 
mh! best friend?...kwanza siku hizi mademu wenyewe mnatutegasisi mamen...unashangaa kademu unaanza nako mahusiano mara hujakaa sawa kanakwambia twende kwa wazazi wakufahamu...mara ooh, inbidi sasa tufunge ndoa maana wazazi weshakubali...kumbe ni kuogopa expiry date isije ikafika kabla hajapata wa kumuweka ndani...baada ya hapo ni kununiana mpaka mwisho wa siku ni kugawana vitanda and lastly...talaka...

Mkuu, ID yako haionyeshi dalili ya kugawa vitanda. Unamwachia then unaanza upya!
Sijui kama ni coincidence, nimewahi kufanya kazi maeneo fulani karibu na Nguruka kuna kijiji chenye jina hilo - Mtego wa Noti. Enzi zake watu walitega sana noti huko!
 
Better Still turn the one you love into your best friend, trying to marry your best friend you might end up loosing both a partner and a friend..

Being friends does not necessary mean that you will be compatible as partners
 
Hai apply Africa.....hizi research wanafanyia ulaya na ina apply ulaya kwa sababu ndio sehemu mnaweza soma kuanzia vidudu mpaka chuo pamoja....sasa hapa unafaulu mtihani darasa la saba moshi alafu unapangiwa shule mwanza.....na hata mkikutana chuo bado ni ngumu maana mkishamaliza chuo kile kipindi cha kutafuta kazi lazima mmoja ampige mwenzake chini kwa sababu ya ugumu wa maisha......msiige mambo. Tuko Tanzania na mfano wa mwisho bongo demu mkishazoeana naye ukimtongoza anakuambia.. "yaani ben hata mimi" ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom