TO ALL LADIES, IF ALSO BOYs KNOW PLEASE I NEED YOUR HELP

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
Ndugu zanguni penye wengi pana mengi, naamini hili ndiyo maana nimekuja kwenu kuomba msaada:

Naomba kujua supermarket yeyote kubwa iliyopo hapa Dar es salaam na eneo ambayo hiyo supermarket ipo:
Mfano:
1.Game Ist Quality - Sam nujoma road Mlimani city Mwenge.
2,............................................................................
3.............................................................................

Natanguliza shukrani zenu za dhati.

Bampami.
 
Kabla sijachangaia niseme kuwa mimi ni mwanaume.

1. Uchumi supermarket at Quality centre Nyerere road
2. Shoppers Plaza, old bagamoyo road
3. Kuna nyingine pale Benjamini Mkapa Towers Azikiwe Street (nimesahau jina lake)
 
Ahsante ndugu yangu.Mungu akubariki uishi daima na upate mafanikio kwa kila hatua utakayopitia, kama ukipata nyinginezo si mbaya ukaniongezea.
Ahsante.
 
Pamoja sana mkuu. Baraka za BWANA YESU zikumiminikie pia.
 
Back
Top Bottom