Ni vizuri tu kuwatishia kama kutafanya wasiondoke na badala yake kutuongezea pato ili nasi tufaidike zaidi, pia ni kweli tu WAWEKEZAJI ni washenzi na ni smart KULIKO SISI kwani CCM wamekubali kabisa hawana uwezo wa ku-negotiate nao na CCM haitakaa ikaondoka madarakanii.Hawa jamaa washenzi kabisa, kwanza yanakuja na kujitajirisha kupita kiasi, pili tukianza kubadilisha mambo ili nasi tuanze kuneemeka, yanaleta vitisho. They can go to hell, watuachie dhahabu, almasi, na maliasili yetu, tutajikokota mpaka tuweze kuzalisha wenyewe!
Tena ngoja, nitaandika makala chafu sana na kuhakikisha inachapwa nyumbani na kusambazwa kwa kila Mwananchi.
Tulisema tumechoka kunyanyaswa, kuonewa, kudhalilishwa na kufanywa wanyonge, sasa ni wakati Wananchi wajichukulie hatua mikononi na kuwafukulizia mbali hawa wajinga na kama mtu yeyote Serikalini au kwenye mfumo wa Uongozi wa Tanzania atasimama eti kidete kutetea maslahi ya Mwekezaji, na anyongwe hadharani huku akikatwa vipande vipande taratibu kabla ya mauti kumchukua!
Hamna atakayetuletea asali kwenye sahani huku sisi tumekaa tu, kila kitu inabidi kukitokea jasho. Hata mikitaba mizuri inahitaji kuitolea jasho kwa Uzalendo na ujuzi wa kuijadili, kama CCM na serikali yao inayokubaliwa na wengi nchini haina ufanisi tunategemea nini.
Investors wakiondoka ndo itakua moto zaidi na wala viongozi wa CCM hawatadhurika na chochote.