Tizama ITV online

wakuu hii ni live au inakuwa ilisharushwa mida flani then ndio inawekwa online, wakuu naomba mnipe uelewa hapo kama kuna anayefahamu hilo
 
Iko poa naona ni ITV na TV za sudan ndo unaaangalia bila username na password.... inaturudisha nyumbani....
 
Yeah mm nakula live sasa
Mwanzoni program ilipigwa stop na misecurity kwene OS yangu. Probably.

BTW, nafanya taiming kaa ile ya kumchinja kobe kwene taarifa ya habari tu ile ya saa mbili usaiku, the rest is pathetic, traumatizing and painful to watch..really.
 
Cathbert hii screen unai capture vipi? Nipe darasa mkuu!
[/COLOR][/SIZE]

bonyeza control (Ctrl) usiiachie (hold) wakati unabonyeza print screen (PrtSc), then paste kwenye word au notepad. Then unaweza ku-crop na kubakiza kieneo unachokitaka.
 
bonyeza control (Ctrl) usiiachie (hold) wakati unabonyeza print screen (PrtSc), then paste kwenye word au notepad. Then unaweza ku-crop na kubakiza kieneo unachokitaka.

Duhhhh!!!!! mkuu asante sana kwa darasa hili. Nimejaribu kwa mafanikio makubwa. Many more thanks mkuu wangu.
 
Mimi pia bado, nimejaribu mara kadhaa, lakini kimya. Nitaendelea kujaribujaribu. Asanteni.:angry:
 
babu hii ngoma kimeo inapiga kazi dk45 tu then inakula mkunjo.naisikilizia kesho tena kuanzia asubuhi nafungua ikiwa msala ntawajulisha hapa.
 
Back
Top Bottom