Guodiola kamkimbia special 1. next season angemgaragaza sana maana alikuwa ameshamjulia mbinu zake
Ni sawa tu na Van Der Sar alipostaafu wkt yupo kwenye kiwango bora kbs. so wanachofanya ni kusoma alama za nyakati tu.
Ni uamzi sahii, ni vigumu kufundisha timu ambayo imetwaa kila kitu kwenye soka, four years 13 cups na bado anaweza ongeza jingne la 14 kama atachukua Copa delay...ts a club record.Atafute changamoto nyingne.
Anaenda chelsea
Atajidhalilisha!mbwa mzee hafundishiki wale wanataka jihad tu siyo mbinu!na kibaya zaidi pep kama dereva basi ni wa automatic na gari iwe mpya!ana bahati na vipaji vya barca vilimbeba ila si kocha katika makocha ambaye mjua soka angependa afundishe club aipendayo!....
Ni sawa tu na Van Der Sar alipostaafu wkt yupo kwenye kiwango bora kbs. so wanachofanya ni kusoma alama za nyakati tu.
Atajidhalilisha!mbwa mzee hafundishiki wale wanataka jihad tu siyo mbinu!na kibaya zaidi pep kama dereva basi ni wa automatic na gari iwe mpya!ana bahati na vipaji vya barca vilimbeba ila si kocha katika makocha ambaye mjua soka angependa afundishe club aipendayo!....
mourinho atakua bubu sasa maana wamemzilia ligChangamoto itakayobaki spain ni ya kitim,i mean barca n madrid,ila tambo za pep na special 1 tutazmic
Anaenda Man utd baada ya mwaka mmoja! Babu anastaafu soka mwakani baada ya maadhimisho ya FA na fainali ya UEFA kufanyikia Wembley.Anaenda chelsea
Swadakta!alikimbia kuchoma mahindiUmenikumbusha kioja alichokifanya Van Der Saar.
Huyu jamaa alikiwa ni kipa wa Juventus, then Juve wakatangaza kumsajili Nguli Gianluigi Buffon kutoka Parma.
Dah basi Van Der Saar aliposikia hivyo akaenda kununua Mabegi na kisha akaanza kupaki mizigo yake huku anatafuta timu.
Kwi kwi kwi siku hiyo ikatakiwa Buffon awasili mjini Turin kwa ajili ya kutambulishwa, hivyo ratiba ikaonyesha atatua Torino mida ya saa mbili usiku.
amini usiamini ilipofika saa kumi jioni ikatokea breaking newz kuwa Edwin Van Der Saar yuko airport na ametangaza kuihama miamba hiyo ya soka ulaya na italy na amepata timu inaitwa Fulham.
Dah mpaka kufiikia hapo ndipo nikaamini kuwa hata Ulaya kuna mijitu mikoko.
mkuu punguza dharau kama ni jihadi uk timu zote za epl zichezea jihadi.unaposema mbwa mzee hafundishiki unamaanisha nini.? Kama jihadi ni kujitolea kwa ajili ya timu mimi naunga mkono.