Tishio dhidi ya viongozi wa CHADEMA:Kamati kuu yakutana.

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM chini wa Mkiti wake Freeman Mbowe leo inakutana jijini Da es Salaam maalum kujadili kwa kina tishio la kutaka kuwaua viongozi wake wakuu akiwemo kiongozi wake tishio Dr Wilbroad Slaa.Viongozi wengine wanaodaiwa kutishiwa maisha yao ni mbunge wa ubungo John Mnyika na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Gosbless Lema.
Inatarajiwa Kamati kuu kutoa maamuzi magumu kuhusiana na sakata hilo.
 
Alipo Dr. Slaa haliharibiki neno!! Nina imani ufumbuzi utapatukana! MUNGU WAONGOZE VIONGOZI WETU NA WATETEZI WA HAKI ZA WANYONGE!!
 
hekima inatakiwa sana katika kutoa maamuzi ...ila nachoamini mungu yuko upande wenu makamanda,,,,,
 
Tafadhali, anzeni kutafuta professional guards, Hawa watoto wa UWT, hamna lolote. Ni suala la kuwa na network nzuri ya ulinzu na nidhamu ya maisha. Tumtangulize Mungu. watashindwa vibaya sana.
 
Kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM chini wa Mkiti wake Freeman Mbowe leo inakutana jijini Da es Salaam maalum kujadili kwa kina tishio la kutaka kuwaua viongozi wake wakuu akiwemo kiongozi wake tishio Dr Wilbroad Slaa.Viongozi wengine wanaodaiwa kutishiwa maisha yao ni mbunge wa ubungo John Mnyika na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Gosbless Lema.
Inatarajiwa Kamati kuu kutoa maamuzi magumu kuhusiana na sakata hilo.
Ahsante kwa taarifa: Tupeni kila kitakachoamuliwa hapa!! Hatutaki Rwanda ije Tanzania. Hata hao TISS sisi M4C tuna uwezo wa kuwadhibiti kabla hawajatuletea maasi makubwa katika kisiwa chetu cha amani.
TUPENI TAARIFA ZOTE. TISS wengine tunawajua kwa majina na nyumbani kwao. Ofisi zao za kijitonyama na za mikoani tunazifahamu Shukrani kwa Mzee Ruksa aliwafanya idara kamili inayojulikana na wanalipwa mishahara kwa kutumia kodi zetu!!
Tupeni taarifa kila hatua. Na sasa tunafahamu wachoma makanisa ya Zanzibar ni akina nani na uchochezi wa UDINI unafanywa na NANI. TISS tunawaonya!! hamfiki mbali. Ndugu zetu waislamu na wakristo hawana ushiriki katika kadhia yoyote ni TISS.
 
penye upendo Mungu yupo kati. Makamanda wetu watafikia maamuzi mazuri, maana Mungu yupo kati yao!.
 
Jamaawana mbinu chafu dhidi ya chama chetu makini cha CHADEMA ila naamba sana watanzania tuombe mungu wasiwadhuru viongozi wetu makini.

Dr. Slaa ni mtu muhimu sana katika chama na taifa nani asiyejua kama nchi inaongozwa na viongozi hawa hasa Dr. Slaa maana anatoa maelezo mengi na serikali inafuata.

Tunakuombea Dr.Slaa na wenzako. MUNGU YU UPANDE WETU.
Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki CHADEMA.
 
Msitie hofu Makamanda. Maadui wa ukombozi wa kweli wa Mtanzania wanaweza kuuwa mwili tu lakini mbegu ya ukombozi wa fikra iliyokwisha pandwa kwenye vichwa vya WaTZ kamwe haiwezi kuuawa kwa kazi ya mikono ya binadamu.
 
Historia inaonesha kuwa hakuna utawala dhalimu uliodumu milele,hawa magamba nao wanajiandaa kuondoka kwani mfa maji haachi kutapatapa.
 
Naichukia sana hii Taasisi inayoitwa Usalama wa Taifa ni wauwaji na ni wanyanyasaji wakubwa sana hata humu JF wamo sana
 
Yanapokuja maswala kama haya, you don't have to trust anyone. Not even mama Josephine Mushumbusi.
 
wanataka ikifika 2015 kue hakuna viongozi wa cdm..watapuputishwa mmoja baada ya mwingine
 
Kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM chini wa Mkiti wake Freeman Mbowe leo inakutana jijini Da es Salaam maalum kujadili kwa kina tishio la kutaka kuwaua viongozi wake wakuu akiwemo kiongozi wake tishio Dr Wilbroad Slaa.Viongozi wengine wanaodaiwa kutishiwa maisha yao ni mbunge wa ubungo John Mnyika na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Gosbless Lema.
Inatarajiwa Kamati kuu kutoa maamuzi magumu kuhusiana na sakata hilo.

Kwanza natoa pongezi kwa uongozi wote wa CHADEMA kwa kuliona hili.
Tunawatakia kikao chema kitakachotoka na maamuzi magumu yakiwemo yakuwa taja hadharani vigogo wote wa CCM wanaohusishwa na upangaji wa njama na mbinu hizo chafu. Hakuna haja ya kumwonea haya kiongozi yeyote wa CCM na Serikali lazima wawekwe wazi na ikiwezekana majina yao yawekwe kwenye mtandao tuwajue.

Pia CHADEMA wanaweza wakapeleka malalamiko yao pamoja na majina ya watuhumiwa kwa vyombo vya kimataifa kama UN,INTERPOL,ICC na nchi zinazotoa misaada kwa Tanzania. Hatuwezi kukubali kikundi cha watu wachache wanaojifanya kuwa Tanzania ni mali yao na wanaweza kufanya chochote wanachotaka! There is no way!
 
Usalama wa Taifa ni NGO ya JK; Akawatukane tena kwani juzi tu amewaita MASHOGA kwa kuwa eti wanatoa siri kwenye public. This time sijui atawaita CHANGUDOA AU kitu gani
 
Back
Top Bottom