Tips on Women and How to Date Them

Mambo ya kusikilizia msg,na kals,yan ujinga tu dah!,nlikuwa nki mtext au kumkal mng,i expect mchana afanye yeye..asipofanya,basi,na take kama anamwingine anayemtext na kumkal,kumbe kadem kalichoka mawasiliano tu,ana expect text iwe hivii Dear wkend hii twende beach..siyo mpenzi umeshakunywa chai?umelala?umeamka?umeoga?unafanya nini?umefua?karibu tunywe uji..Ameniambia leo alichoshwa na mambo hayo..haaaaaa,WOMEN!!.

Ahhhh kumbe ni "kadem" ???
Subiri hizo tips zikifanya kazi kwa mwanamke wa ukweli ndio useme zinafaa.
 
Ahhhh kumbe ni "kadem" ???
Subiri hizo tips zikifanya kazi kwa mwanamke wa ukweli ndio useme zinafaa.

katoto toto sana bana,ndio maana nakaita hivyo,Well ni mchumba wangu huyu.Point of correction.
 
397771_356611154354703_100000174644454_1657994_1215878524_n.jpg
 
MAKITU GANI HAYA????????......NAONA MATUMBO TUUUUUU.NOT 8 FIGURE KAMA YA BABY WANGU:photo:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom