Tip: to Wordpress Bloggers

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,402
Kama wewe ni bloga na unatumia wordpress, then nakushauri uweke mobile friendly plugin, ili blog yako iwe compatible na mobile devices za kisasa, zipo plugin kadhaa kuifanya blog yako ionekane vizuri kwny mobile na computer vizuri, ila my favorite ni WORDPRESS MOBILE PACK. Plugn hii huifanya blog yako ionekane vyema kwenye kila aina ya simu pamoja na computer. Huchagua device inapogundua ni simu hubadili mfumo.
 
motosix Worpress mobile paack umeipendea nini zaidi ya WP touch .
Ukiangalia statistics WP mobile pack s far ina download 274,391 wakati WP touch ina 3,011,572........... Mpaka hapo unaona siri
 
tatizo la wp touch wameitengeneza mahususi kwa ajili touch devices, ukitumia kwa device zingne like normal java phones utaona why i recommend wp mobile pack
 
Back
Top Bottom