Tinted kivutio cha wezi na Polisi

Absolutely right. Siwezi kufanya kazi ya kuweka tinted glass kwenye gari. For what purpose
hujawahi kuegesha gari ukakuta hakuna laptop ndo maana.kiukweli zinasaidia sana hasa kuzuia wezi /wadokozi wa vifaa au vitu vidogo ndani ya gari
 
Sio kweli. Nawajua wengi tu wazoefu akitaka ku-reverse au kukata kulia/kushoto lazima ashushe vioo.

Wengine unakuta tinted imekatwa maeneo ya side mirrors ili waone nyuma. Inatesa ila ndio kufa na tai shingoni.
Hizo tinted za wapi? Mi Nina kitu cha USA vioo vya dereva inakuwa havina Giza sana unaona tu ila vya abiria ndio Giza kabisa
 
hujawahi kuegesha gari ukakuta hakuna laptop ndo maana.kiukweli zinasaidia sana hasa kuzuia wezi /wadokozi wa vifaa au vitu vidogo ndani ya gari
Huwa siachi mkoba wenye personal belongings ndani ya gari kama nashuka mkuu. Hilo kosa nilijifunza kutoka kwa kaka yangu. At the time natoka kwenye gari, nashuka na computer or any other valuable thing
 
lakini ukiwa na tinted angalau unaweza acha
 
Hizo tinted za wapi? Mi Nina kitu cha USA vioo vya dereva inakuwa havina Giza sana unaona tu ila vya abiria ndio Giza kabisa
Yes za US/EU standard. Kwa dereva iko light. Za bongo hazina kipimo,mtu anaweka tu hadi windscreen.
 
hujawahi kuegesha gari ukakuta hakuna laptop ndo maana.kiukweli zinasaidia sana hasa kuzuia wezi /wadokozi wa vifaa au vitu vidogo ndani ya gari
Wezi wa power window hawazuiwi na tinted. Uache bag usiache ikiwakalia vizuri wanavunja iwe na tinted isiwe na tinted.
 
Tinted ni karatasi nyeusi tunazoweka kwenye vioo vya Madirisha ya magari yetu.
Tinted huleta faragha kwani aliye nje hawezi kuona kilichomo na yanayotendeka ndani ya Gari.
Askari Polisi wa barabarani wamekuwa wakiyasumbua sana kwa kuyakamata na kuyapekua magari yenye vioo vya aina hii, kwani majambazi na wahalifu wengine hupenda kuyasiliba magari yao kwa vioo hivi.
Wezi Nao wanaonyofoa vifaa kwenye magari tinted
Mbona hata nyumba baadhi zina vioo vya tinted kwenye madirisha je nazo vipi?!
 
Wadau gesti ni gharama sana kwa wachapaji wa mara kwa mara, so gari titled ni mbadala wake.
 
Tinted inafanya gari ipoe sana ..ndani kwawa baridii...pia ni nzuri kwa kuvutia bange...
72ed2867893c53e29efe1c25b360836d.jpg
 
nitaweka tinted nikinunua gari.huwa natamani sana kichungulia magari yenye tinted na ambacho huwa nakiona ndani duuh...!!watu wanafaidi maisha bhana
 
Back
Top Bottom