Tinted kivutio cha wezi na Polisi

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,733
155,415
Tinted ni karatasi nyeusi tunazoweka kwenye vioo vya Madirisha ya magari yetu. Tinted huleta faragha kwani aliye nje hawezi kuona kilichomo na yanayotendeka ndani ya Gari.

Askari Polisi wa barabarani wamekuwa wakiyasumbua sana kwa kuyakamata na kuyapekua magari yenye vioo vya aina hii, kwani majambazi na wahalifu wengine hupenda kuyasiliba magari yao kwa vioo hivi.
Wezi Nao wanaonyofoa vifaa kwenye magari tinted
 
Tinted inafanya gari ipoe sana ..ndani kwawa baridii...pia ni nzuri kwa kuvutia bange...
Hahaha oyaa Mzalendo hapo kwenye bangi hapo
Faida ni chache sana kuliko hasara.

Kama mdau mmoja ameeleza kwamba unaweza kuvamiwa ndani ya gari na watu wanapita pembeni bila kujua kinachoendelea.Ila gari ikiwa wazi,basi kila kitu kinakuwa wazi na matukio yanakuwa mbali na wewe.
Na ndio maana hata Jambazi akifanya tukio na kukimbia kuchukua gari kwanza anaangalia yenye tinted.Na kumekuwa na mchezo wa kuvamiwa kwenye gari na kuwekewa silaha na kupukutishwa kila kitu na watu kusepa.Ila wengi wanaona aibu kutoa taarifa polisi,na hii ni kwa sababu ya tinted.
 
sijaona madhara yake ..ila ukifunika hadi kioo cha mbele ndiyo polisi wanacheza na wewe kila hatua
 
Back
Top Bottom