Movie ya Shoga aliyecheza Tino

Kuna vitu vya kuigiza lakini siyo ushoga, coz tunachochea watoto na vijana wadogo waone ni kitu cha kawaida, Mwenyewe kasema mbona wengine wameigiza wauaji, wachawi na makahaba hawalaumiwi. Kuua katika mazingira fulani e,g self defence, jeshini/vitani kunaruhusiwa na justifiable,hata kupigana, kuigiza ukahaba as long as ni naturalsex kila mtu anafanya swala ni unafanya na nani mumeo au mkeo, ni kitu ambacho kinafanywa na kila binadamu rijali. Lakini homesexualism lazma iwe discourage kwa kutopewa any kind attention, ili watoto wasiige, otherwise attention wanayostahili ni kupingwa kwa nguvu zote BOOM BYE BYE INNA BATTY BWAI DEM!

Sifagilii huu mtindo wa kishoga lakini reply yako inakukanyaga mwenyewe.

Mbona ziko movie za ujasusi, ujambazi nk lakini watoto wenye malezi mazuri hawaziigi?
 
Hakuna mwanaume lijali akaingia kua shoga sababu ya eti kuiga, wanao onekana wanaiga ni wanadanganya, sio wameiga ila ni mashoga toka mwanzo na wanajificha kwa kusingizia wameharibiwa na mambo ya kileo`.

Ukishaona mtu mkali sana na anakemea mashoga , mwangalie mara mbili, wengi ya hao wanao tusi mashoga , utakuta ndio vinara wa mambo hayo kisiri, wengi ni wanakua bisexuals na wana jijua na kujaribu kuficha upande mmoja wa sexuality zao kwa kuhofia kutumbukia huko kwa sababu wanaaamini ni dhambi au muonekano wao kwenye jamii, ndio maana wana kua wakali kwasababu ukweli ni wanatamani kimapenzi jinsia zao ila kuna kitu kina wa suta moyoni.

Filam isiwe kitisho kwani ukizawaliwa straight wewe ni straight huwezi kuwa homosexual kwa kuiga , kwani gay sex kwa a straight man is nasty and dirty, hakuna lijali atakaye kubali kukiss dume mwenzake bila kuwa na feelings kwake , hilo hakiwezekani unless una jaa za hela!
 
mimi nashangaa kwanini serikali imeizuia hii filamu wakati nadhani ilikuwa kwa ajili ya kutoa fundisho kwa wanajamii kuhusu madhara na sababu za kuepuka tabia hiyo ya ushoga ambayo kwa sasa inazidi kushamiri katika nchi hii ya wadanganyika
 
Mashoga should be stoned to death! or secretly exterminated - like the Ugandan did the other day!
 
ushoga ni janga sasa hapa nchini,tembelea maeneo ya kinondoni,mwananyamala,ilala huko utawakuta hawa vijana,mfano huko mwananyamala wamenunua na nyumba,na shoga ajiita mama mwenye nyumba,hahahahah!SIJAWASIKIA WATU WA USTAWI WA JAMII WAKIWAONGELEA HAWA,SERIKALI IKEMEE,WANAUME WANAOLEWA JAMAN HAPAHAPA TZ,
NA WANAATHIRIWA SANA NA HIV.
 
ushoga ni janga sasa hapa nchini,tembelea maeneo ya kinondoni,mwananyamala,ilala huko utawakuta hawa vijana,mfano huko mwananyamala wamenunua na nyumba,na shoga ajiita mama mwenye nyumba,hahahahah!SIJAWASIKIA WATU WA USTAWI WA JAMII WAKIWAONGELEA HAWA,SERIKALI IKEMEE,WANAUME WANAOLEWA JAMAN HAPAHAPA TZ,
NA WANAATHIRIWA SANA NA HIV.




Hivi hakuna uwezekano wa yale mabomu ya Gongolamboto kuiangukia hiyo nyumba?
 
Ninajitahidi sana kuwakubali mashoga lakini nimeshindwa, tafadhali msitulazimishe kuwatambua mashoga kwa sisi tunaoshindwa kuwatambua. Ni haki yetu pia.


Ok Mkuu,labda sijakuelewa vizuri,hapa mleta mada ana nia nzuri,ukimjulisha pia mcheza filamu ya shoga(sijaiona),Lakini wote lengo ni kuupinga ushoga,na si kuukubali km unavyofikiri wewe..

Paza sauti uukatae ndio tutajua kuwa unaukataa ushoga,maana hata usipoutamka ujue kuwa upo tu!

Ni km vita ua ufisadi......kuuutaja ufidasi si kuukubali yaweza kuwa unaupiga vita,maana upo tu.
 
Hiyo filamu ipigwe marufuku. Filamu nyingi za kwetu bongo za hao kina tino, kanumba, ray, huwa ni za hovyo na zenye kubomoa maadili
Halafu wanachoniboa wanafanya kutafsiri kazi za west africa hawaumizi akili zao kutunga kulingana na mazingira ya kwetu
 
Kweli JESUS yuko mlangoni! Filam ni njia mojawapo ya kufikisha ujumbe,lakin inawezakutumika kama kichocheo cha kukuza huo uchafu hasa ukizingitia kuwa iko-inform of stimulus! Si kila ujumbe unafaa kuwasilishwa kwa njia ya filam!!! Ni lazma upande wa pili utazamwe kwanza!! Tafadhali wasanii acheni kukurupuka!!! Jamii itawafikiria kinyume na matarajio yenu kwa mfano huyu Tino, ukifikiria kwa makini unaweza kumtazama kivingine!! Hv, aliomba ushauri kweli???
 
nilistuka eti tino shoga!! itakua huyu mwaandishi wa habari wa shigongo!!
 
nyie ndio wale mnaotaka kusikia mazuri kila siku.

Hacha upofu wa kutoelewa kwa nini filamu hiyo inapingwa. Ukweli ni kwamba hakuna watu ambao wanaweza kudai haki ya kuwa majambazi au haki ya kuwa wabakaji. Lakini ukipromote ushoga kinachofuata ni kuongezeka kwa vitendo hivyo and hence watadai haki ya kutambuliwa kisheria!! Ingawa kuna sheria nchini inayotoa adhabu kwa vitendo hivyo,sheria hiyo itaonekana haina maana endapo asilimia 50 ya vijana watakuwa mashoga na kudai kutambuliwa. Kwa hiyo mifano yote iliyotolewa kuhusu filamu haikuzingatia dhana nzima ya kwa nini ushoga unapigwa vita. Hatuwezi vumilia kuwa na society ya vijana wanaorukwa ukuta simply because wanatekeleza haki yao waliyoomba na kukubaliwa na katiba. Jamani umagharibi tuuhache,we are africans lazima tuzingatie asili yetu,ingawa society is dynamic but let it be so in technological aspect,but not in such stupid behaviours.
 
:A S thumbs_down: MWANAUME KUPUMULIWA KISOGONI NI HERI UFE.
MIE HUWA NATAMANI KUWANYWESHA SUMU KABISA SITAKI KUWASIKIA WALA KUWAONA:twitch:

Sio kuwakubali au kuwakataaa!!! Mtazamo wangu ni kuwachukulia tu kama watu wa kawaida.....mawazo yetu yasiende zaidi kwa picha ya vitu wanavyofanya in as far as their sex life is concerned.....
Wengi wapo katika jamii na wanavipaji vingi vinavyosaidia jamii...madaktari; wakuu wa makampuni...viongozi wa siasa etc.... Tu mchukulie mtu kama mtu...na jinsi anavyo ji represent kwenye society....

!!!Ila Wale walevi wa ngono either shoga au sio shoga, wanaopenda kuwa na partners wengi, wote tuwaone wabaya, !!!!
 
ushoga hautakuwepo kama wateja hawatakuwepo?tumeshaona watu wangap wanabadlsha biashara kama ikikosa wateja?wanaume wengne wanaokemea ndio wateja wao wakubwa.hii hal da same applied 2 machangudoa,jaman let us think abt it na si kulaumiana.
 
Back
Top Bottom