Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
TING ni hovyo kabisa bora hata star times ,kiboko yao ni Easy TV kwa hapa bongo
TING ni hovyo kabisa bora hata star times ,kiboko yao ni Easy TV kwa hapa bongo
Wana JF,
Naomba kufahamu kuhusu ving'amuzi vya TING.
Nimesikia wana packages 2, unayolipia elfu 10 kwa mwezi na ya 25 kwa mwezi. Je, ni channels gani zinapatikana kwenya hizi packages, na coverage yao kwa sasa ikoje?
Kwa anaefahamu please msaada.
uncle naomba info za Easy TV,cost,coverage n.k
Star times is da best..in my view.
na king'amuzi cha startimes ni sh ngapi?Easy TV unapata local channels zote, za habari ni cnn,bbc,aljazeera,n'k ntv kenya na citizen pia ubc ya uganda,pia wana channel maalumu 4 za movies za Action comedy n'k wanachannel moja ya michezo ambayo inatangaza kiarabu.
Kuhusu coverage. yao sijajua wapo hapa town tu au wameenea nchi nzima! Hii ni kampuni ya mwanzo kabisa kwa hapa tz ila hawajitangazi ndio tatizo lao kubwa, king'amuzi chao ni tsh 100,000 pamoja na matumizi ya miezi mitatu,kwa mwezi wanacharge tsh 9000
wana jamii nijulisheni juu ya kulipia iyo ting gharama ya mwezi
Mkuu kusema kweli hawa provider wa sh elf 10 kwa mwezi uusitegemee kupata channel yoyote ya maana zaidi ya wao kukusanaya channel za bure na kukombani kisha kukurushia na kukulipisha kidogo, Vinginevyo hawawezi kulipia programs za maana kwa sh elf 10 yako unayolipia kwa mwezi.
Kinacho fanya wengi waponde Star times ni kushindwa walau kuweka local channel zote za kibongo kama walivyo fanya East Tv,
Inaudhi sana eti uko na Star times halafu huwezi kuona local channel kibao za kibango
aloo decoder hii ya aal-003 inapatikana wapi na vipi sifa zake? Mimi nimenunua ES-HD7000CS ambayo ni fully MPEG2/4, DVB-S/S2 je kuna mtu ambaye anauzoefu na decoder hii je inaruhusu keys?huitaji kulipia we nunua decoder aal-003 na uunganishe nyungo zote ulizonazo na uendelee kuinjoy fta.
<>
wana decoder 3, AAL-001,AAL-002,AAL-003.hii ya mwisho unapata mawimbi kupitia satellite.kwa sasa unapata kwa tsh 250,000/= decoder hii ni nzuri sana kwa mtazamo wangu kwani unaweza kui2mia popote africa kupata mawimbi ya satellite yoyote kama uko within footprint ya hiyo sat.tangu nimenunua cjawahi kuilipia lakini nai2mia kupata channel za bure kupitia sats w4/7,intelsat 10 and 906,nss12 na w3A.nyuma ya hiyo kuna slot ambayo unaweza weka smartcard ingawa bado cjui km inasapoti ya encryption gani.(irdeto2,cryptowork,viassess,conax etc)nikipata uhakika kama inasapoti pia irdeto2 nitanunua smartcard ya ALJAZEERA ili nipate uefa cl laliga serieA FA Carling cup and much more except epl.nafikiri nimetoa mchango kidogo
Kaka kuna smartcard za aljazeera! Niambie zinatumika kwenye decorder gani tukanunue
Wakuu mkiitazama hiyo list ya channels ilyotolewa hpo juu, hakuna hata Channel moja ya maana,na isitoshe 3/4 yake ni Free to Air kwa wale wenye madish wanafahamu hlo. Channels pekee ambazo ni payee,ni Colors,SENTANTA,na KIDISCO,. Sasa kucharge 10,000 kwa mwezi kwa chnls za kipuuzi kama hzo ambazo ni FTA, si haki kabisa. AFADHALI HAO WENGINE WAMEWEKA LADHA Mchanganyiko. TING no sikushauri ununue kama wewe ni mpenzi wa movies na sports./If you are Champion don't.