Timua Timua Yaanza Yanga!

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
4,477
4,270
Baada ya kipondo cha goli twite aka goli tatu au kibajaji toka kwa wakata miwa wa mtibwa sukari hatimaye leo yanga imewatimua voingozi wake waajiriwa waliwemo louis sendeu, katibu mwesiga celestine, meneja wa timu, mhasibu na ofisa wa utawala.
MY TAKE: hivi yanga kwanini huwa hawakubali kuwa kuna kushindwa?? Mchezo wa soka una matokeo matatu. Kwanini wao huwa wanaamini kufungwa ni hujuma?? Wataendelea hivi hadi lini??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tukiwafunga hiyo kesho kutwa watamtimua Manji wewe subiri utaona...
 
Hayo ni maelekezo ya YM. Bila shaka walipiga panga hela ya hotel kule Mbeya na kusababisha wachezaji wakalala kwa kukumbatiana, na kocha wao mzungu kuogea ndoo bafuni tofauti na matarajio yake!
 
Mtani we subiri dozi yako tar.3
Leo tarehe 21 bado siku ngapi? je mmepanga kumfukuza nani maana kwa mwenendo wa wachezaji na kocha kujipodoa kila kukicha na akina sendeu kumnanihii kocha na wachezaji kunanihiiana tutawapiga zaidi ya tano labda mache huo ujinga pengine dozi itapungua...
 
Timu ikifanya vibaya tena kitakachofuata ni kuwatimua mashabiki wote wa Yanga kwenye jukwaa letu la michezo.
 
Hayo ni maelekezo ya YM. Bila shaka walipiga panga hela ya hotel kule Mbeya na kusababisha wachezaji wakalala kwa kukumbatiana, na kocha wao mzungu kuogea ndoo bafuni tofauti na matarajio yake!
Kocha katoboa sikio na pua unategemea nini? tatizo sendeu labda alipiga vingi ndiyo maana akaenda kulalamika kwenye vyombo vya habari utafikili ndiyo walio mwajiri...
 
Timu ikifanya vibaya tena kitakachofuata ni kuwatimua mashabiki wote wa Yanga kwenye jukwaa letu la michezo.
Yanga kwasasa siyo timu mpinzani wa simba tena angalau Azam FC maana kwa beki ya kijinga ilivyo ya yanga kwasasa harafu ikutane na Okwi, Ngasa, Akuffo, Sunzu, Boban,Kazimoto,Mafta,Kapombe,Kaseja...........
 
Baada ya kipondo cha goli twite aka goli tatu au kibajaji toka kwa wakata miwa wa mtibwa sukari hatimaye leo yanga imewatimua voingozi wake waajiriwa waliwemo louis sendeu, katibu mwesiga celestine, meneja wa timu, mhasibu na ofisa wa utawala.
MY TAKE: hivi yanga kwanini huwa hawakubali kuwa kuna kushindwa?? Mchezo wa soka una matokeo matatu. Kwanini wao huwa wanaamini kufungwa ni hujuma?? Wataendelea hivi hadi lini??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hii ni kawaida hapa duniani kwa waliowengi mnapoishiwa sera, mkiishiwa visingizio, mkikosa sababu, mkiishiwa uongo ..... lazima ......... mtaangalia ni nani wa kumtoa kafara, nani wa kufa naye, hili la hawa akina Sendeu na timu yake ni kutoana KAFARA, sasa tutaona kama wakiendelea kufungwa watafanya nini
 
Nashauri wamlambe bakora Manji maana aliwaingiza mkenge kwa mbwembwe zake kuchukua kiti.
 
ndio maana nilistaafu kushughurika na soccer ya bongo leo yanga kesho simba ndo maisha ya michezo tanzania kesho wamekimbia bila viatu,keshokutwa wanafanya mazoezi ya kuogelea kisimani ili wakashiriki mashindano ya kuogelea wiki ijuayo timu ya basket ball wanafanya mazoezi katika kiwanja cha netball ha ha ha haaaaaa buriani michezo bongo
 
Alitimuliwa Mengi nini Hao...

Yanga Fitina na ubaguzi zimewazidi sasa kimenuka kwao...

Nimekumbuka Zama za George Mpondela yule ndie alikuwa kiboko yao
 
Kocha anafundisha kiduku
wanachama wanategemea Manji atafanya miujiza
walimpamba mno beki kwa sifa asizokuwa nazo
inanikumbusha ule wimbo Juma Nature wa Wanaume Family wa Dar mpaka Moro .....tatu bila tatu bila! Duh watu wana maono! Walishaona hili muda mreeeefu
pia deni la Mbuyu tatu litakuwa gumu kulipa maana ni kama kulipa gharama za hospital kwa mgonjwa aliyefia mapokezi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom