Timu ya Taifa – Taifa Stars Miaka ya 80's

Ngwanakilala

JF-Expert Member
Jun 25, 2011
774
1,456


Wakuu - Nani anaikumbuka timu ya Taifa Stars miaka ya 1977,78,79,80 ambayo ilikuwa na wachezaji wengi kutoka Bandari Mtwara kama akina Abdallah Chuma, Namajojo, Mkandinga, Mrope, nk. Tupeni data na picha kama mnazo please!
 
Hapana mimi bado yanki ila baba angu alichezea hiyo timu natafuta data za marafiki zake akina Abdallah King Kibadeni Mputa!
 
hahaha ohhhhhhhhhhhh! hapo sawa,Huyo Abdullah Kibadeni ndio wale walokua na magari Kibabedi tanga?
 
Kajole, peter Tino, Abeid Mziba, Ramadhan Leny, Abubakary Salum, Jera Mtagwa, Lila Shomari, Alan Shomari, Juma Pondamali, Omar Hussein
 
Mkuu Chatu Nashukuru for info

Mkuu Arabian akina Kibadeni Mputa sio wale wanye mabasi Tanga. Kibadeni sasa hivi anakaa pale kwa Sinza kwa Remmy na alikuwa anafundisha Taifa Star na Simba ya Dar es salaam until recently
 
siunaona basi mambo nilivyo yakoroga! ah nisamehe mwenzangu siunajua Ramadhani ukisha shiba Uji na Maharange mpaka unachanganya madawa.
 
Katika hawa wengine ni marehemu.
Joel Bendera -kocha

Athumani Mambosasa
Saidi Jeki
Juma Pondamali

Mohamedi Mkweche
John Faya
Rashidi Iddi Chama
AHMED AMASHA


Lila Shomari
Athumani Juma Chama
Elisha John
Charles Boniface

Hussein Ngulungu
Justin Semfukwe
Abdallah Buruhani
Peter Tino
Zamoyoni Mogella
Hilal Hemed
 
Mkuu Tongoni nashukuru. Joel Bendera, Boniface Mkwasa na Mzee wangu walikuwa mabest sana!
 
Mkuu Arabian utakuwa unawajua akina Mohammed Shossi na Seif Matambuu-SAS wa Tanga?
 
Seif Matambuu SAS ni marehemu,Humu JF yupo Mohammed Shossi unamfahamu vp wewe?
Marehemu seif Matambuu ndiye aliyekuwa mdhamini mkuu wa Coastal Union mwishoni mwa miaka ya 80 na ndio wakati iliposhinda ubingwa wa Bara.Wakati ule Coastal ikiundwa na akina:

ZAKARIA KINANDA-kocha

HAMISI MAKENA
MOHAMEDI MWAMEJA

SAIDI KOLONGO
ALI MWALIZA
DOUGLAS "HAMISI" MUHANI
JOSEPH LAZARO

YASIN ABUU NAPILI
ABDALLAH TAMIMU
IDRSA NGULUNGU

ALI MAUMBA
KASSA MUSSA
ABUBAKAR HASSAN
AGGREY CHAMBO

RAZAK YUSUPH
JUMA MGUNDA
HUSSEIN MWAKULUZO
 
Jackbauer - Actually na mimi ningependa kujua timu ya kina Tenga ilikuwa lini maan i dont recall kama alicheza na Bendera na Boniface.

Mkuu Tongoni nashukuru kwa kunikumbusha kikosi machachari cha Coastal Union ya Tanga. Wakati ule soka ilikuwa soka ya kusikiliza redioni.

SAS kumbe alifariki duuh. nilikuwa sina habari kabisa nilidhani alihamia Canada au UK.
 
Jackbauer - Actually na mimi ningependa kujua timu ya kina Tenga ilikuwa lini maan i dont recall kama alicheza na Bendera na Boniface.<br />
<br />
Mkuu Tongoni nashukuru kwa kunikumbusha kikosi machachari cha Coastal Union ya Tanga. Wakati ule soka ilikuwa soka ya kusikiliza redioni.<br />
<br />
SAS kumbe alifariki duuh. nilikuwa sina habari kabisa nilidhani alihamia Canada au UK.

tenga alicheza na kina bendera na boniface mkwasa,kama sikose mohamed bakari 'tall' alikuwepo.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom