Timu ya shetani

shindwa na ulegeee...mie sipo katika timu ya shetan wala sitaki kuwepo
 
Hii ndio First eleven ya Shetani. Lazima ucheze namba yoyote.1:ZINAA. 2:WIZI/UJAMBAZI. 3:UONGO/UTAPELI. 4:ULEVI. 5:BANGI/UNGA. 6:TAMAA/ROHO MBAYA. 7:DHULMA. 8:UCHAWI. 9:RUSWA. 10:KIBURI/DHARAU. 11:KUSENGENYA. JEE wewe namba ngapi? Huwezi kuficha kuna namba lazima utakuwa unacheza. Please niambie sasa hivi.

Umemsahau super sup "UFISADI"
 
namba moja ifute aisee, nakupa siku saba , ''hapa mjini ukiniona na mwanadada usifikiri ninafanya nae zinaaa'' -ivuga
 
bora mtume alioa mapadri hawaruhusiwi kuoa wanaongoza kwa ushoga duniani akiwa mwema anazini na masister,wake zawatu,na vibinti vidogo hakuna sister hata 1 bikira 100% wote wamepigwa nao. please do not insult some one else religion
 
Umesahau mmiluki wa timu hiyo ni mtume mmoja hivi alikuwa hajui kusoma wala kuandika na alikuwa mtaalam ngono yaani alioa wazee na vitoto..

Mzizi wa Mbuyu jiheshimu uheshimiwe Mkuu. Heshima kitu cha bure. Usituharibie hili jukwaa. Humu wanajamvi hucheka na kufurahi. Usituharibie mood.
 
mi nitakuwa timu pinzani...tena ni defender!!nakabana sana na namba 8,na nikipanda natupia goli nyavuni..aagh namba 1 atanikoma!!
 
Aliyeanzisha hii "TOPIC" nakwambia "Shindwa pepo wa kuzimu wewe" shindwa na ulegee!! Huna mamlaka ktk web hii ya kuwateka wana wa MUNGU,Nasema tena Shindwa pepo na umelaaniwa,huna mamlaka kwa DAMU YA YESU WA NAZARETI aliye hai. Acha wa2 wa MUNGU wajadili mambo yaliyo hai ya Nchi yao.
 
Back
Top Bottom