Timu ya shetani

Globu

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
8,569
2,068
Hii ndio First eleven ya Shetani. Lazima ucheze namba yoyote.1:ZINAA. 2:WIZI/UJAMBAZI. 3:UONGO/UTAPELI. 4:ULEVI. 5:BANGI/UNGA. 6:TAMAA/ROHO MBAYA. 7:DHULMA. 8:UCHAWI. 9:RUSWA. 10:KIBURI/DHARAU. 11:KUSENGENYA. JEE wewe namba ngapi? Huwezi kuficha kuna namba lazima utakuwa unacheza. Please niambie sasa hivi.
 
mm niko sub
 
Nilijua tu hili swali lazima lingekuja. Niko neutral mkuu, napiga miguu yote kulia na kushoto.
 
Mi striker namba 10 ila namfunga golikipa wa timu yangu mwenyewe,je mimi ni nani?
 
Me mshika kibendera nina macho makali kama mshika kibendera wa mechi kati ya totnham hotspurs na chelsea
 
No.9 inaniusu ndugu,ila mfumo wa kocha wa timu yetu umesababisha,yaan 6:3:1.alaumiwe kocha..
 
mi ni mshabiki tu.......... wakicheza vizuri kama aseno na man yu mi nawashangilia wakicheza kama wale anda twente thrii mi nazomea tu ndio zangu.
 
Umesahau mmiluki wa timu hiyo ni mtume mmoja hivi alikuwa hajui kusoma wala kuandika na alikuwa mtaalam ngono yaani alioa wazee na vitoto..
 
Back
Top Bottom