Timu ya Coastal Union imepotelea wapi?

Omumura

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
476
18
Wajameni nimeikumbuka hii timu enzi zake ikitamba na wachezaji kama Juma Mgunda,Kasongo Athman,Mohamed Mwameja nk.sijui imepotelea wapi,kuna mwenye habari wajameni?
 
wachawi wa Tanga wana mkakati mahususi wa kuyarudisha nyuma maendeleo ya mkoa wao.
sasa wanairiga timu yao iwe inafanya vibaya kila kukicha.
 
soka la bongo:
katibu wa coastal union-NI HUYO HUYO FRIENDS OF SIMBA
kocha wa kagera sugar-NI HUYO HUYO YANGA ASILI
mmiliki wa moro united-NI KIONGOZI WA FRIENDS OF SIMBA
mmiliki wa african lyon-NI MFADHILI MKUU WA SIMBA

unajifunza nin hapo mwanamichezo?
 
Wajameni nimeikumbuka hii timu enzi zake ikitamba na wachezaji kama Juma Mgunda,Kasongo Athman,Mohamed Mwameja nk.sijui imepotelea wapi,kuna mwenye habari wajameni?

Timu ya Coastal Union ipo ligi ya daraja ya kwanza Taifa kama itafanikiwa kupanda basi ligi ya VODACOM msimu ujao itakuwepo
 
Back
Top Bottom