Naomba mnisaidie ktk hili. Naomba top five ya timu tajiri England.
Taarifa hii ni kweli lakini haina mchanganuo wa kuondoa madeni................ukiondoa madeni na kubakisha net assets tu orodha hii itabadilika sana........................................na hili ni muhimu kujua net worthinessthe top 10 richest clubs in england according to forbes are:
manchester united
arsenal
liverpool
chelsea
tottenham
manchester city
newcastle united
aston villa
everton
sunderland
Taarifa hii ni kweli lakini haina mchanganuo wa kuondoa madeni................ukiondoa madeni na kubakisha net assets tu orodha hii itabadilika sana........................................na hili ni muhimu kujua net worthiness