TIMU Magufuli tukutane hapa

kijana unonekana wewe ndio ZERO KABISA!!!

nYIE NDIO MOJAWAPO WA MALOFA WA AKILI MLIBAKI, AMBAO hAMWELEWI dunia inakwenda wapi!!

yaani mkapa naye??


Wana JF
Mungu ametenda. Ameliokoa taifa hili kutoka kwenye mikono ya watekaji. Ama kweli eheeeeee
jamani nchi ilikuwa imeenda.
Sifa zote kwa Mzee Mkapa, Mzee Msekwa, Mzee Warioba na Mzee Mwinyi. Mungu awalinde na awazidishie karama zake.
Najua bado anatupenda na kamwe hawezi kuwaacha wana wa Israel wazame.
Tumshukuru mungu.
Naomba tutafute ibada ya shukrani kabla ya kuapishwa Mh. Magufuli. Na ibada hii hiwe ya dini zote.
Mungu muweza ya yote, amen
 
Mwanzoni mwa utawala wa Mkapa sikuwa nimemuelewa Mkapa alipoihamishia Tamisemi katika ofisi yake. Baadaye nikaelewa. Tamisemi ndiyo serikali yenyewe;ina wakuu wa mikoa na wilaya, wakurugenzi wa halmashauri, ina Idara zote za serikali kama vile afya, elimu, ujenzi, ardhi, kilimo nk. Kama wizara hii isipofanya vema maana yake serikali nzima inakuwa imeshindwa.

Wizara hii chini ya Pinda na Hawa Ghasia imeharibu mno. Kumekuwa na ufisadi wa wazi, kumekuwa na udini hapa Tamisemi kiasi kwamba watu hapa wanapafanisha na msikiti na uzembe uliokithiri.

Namshauri Magufuli afanye kama Mkapa kuichukua Wizara hii ili aisimamie yeye mwenyewe.
 
Mie namwomba sana Mungu anifikishe jumapili ili nikampelekee sifa na utukufu wake ..hakika Mungu ni mwema na kamwe hatatuacha watanzania, tulilia usiku na mchana na kumuomba kwa kila namna na hatimaye kaonesha mapenzi yake kwetu.
 
Back
Top Bottom