TIMU Magufuli tukutane hapa

Mnafanya nini nyuma yake!! Msije mkananihiiii...
Ukiweka ujinga uwe msingi wa maisha yako ni hatari sana. Ni bora ukaona ujinga wako ni changamoto ukaikabili na kusonga mbele. Akili zako ni finyu mno hazijai hata kwenye kijiko kidogo cha kukorogea chai.
 
#Hapa kazi tu...... Ufisadi na blah blah zingine peleka ukawa..... Hutak utanyooshwa tu maana hakuna namna sasa.
 
CCM na serikali yake chovu vimesahau kwamba vyombo vingi vya kimataifa vinaangalia upuuzi wote unaoendelea Star tv,Tbc na magazeti yake na waangalizi wanashangaa kwa nn TBC si ya UMMA ila ni ya CCM na inaonyesha upendeleo wa wazi kwa CCM,Uzushi unaofanywa na vyombo hivi unaonekana wazi kabisa TUME YA UCHAGUZI IKO KIMYA yote hayo uangalizi wa kimataifa unaona na Wamejua kabisa kuwa CCM maji yako Shingoni na kinachoendelea ni kutapatapa tu bado dakika chache chama kinazama jumla.
 
Wewe Umeingia Vp Hapa,?Yan Mkiambiwa Nyie Ni Malofa Mwakataa,umeambiwa Wale Team Magufur Wewe Team Fisadi Umeingia Vp Kwenye Thread Hii,?Akil Yako Ni Ya Mende,
 
ndio hapo inapokuwa shida..maana mfumo wa nchi kwa kuongozwa na katiba unaelekeza kuwa nchi itaongozwa na chama kitakachoshinda..... na sio mtu mmoja.. na ndio maana kuna kitu kinaitwa ILANI (yaan mwongozo) hiyo ndiyo ambayo itamwongoza Magufuli.. siwezi nikiwa na akili timamu kushabikia CCM kuendelea kuongoza nchi hii. naamini kina Magufuli wapo wengi nchi hii.. hawajapewa tu nafasi..hata huko UKAWA wapo.

Ilani ya Ukawa umeisoma?
 
Sawa mimi naomba mashamba ya mpunga yaliyo milikishwa kwa wawekezaji kule mbarali na kusababisha wananchi wakose maeneo ya kulima yagawiwe kwa wananchi na hapo naamini itakuwa sehemu ya ushindi kwa jimbo la mbarali vinginevyo itakuwa ngumu Kaka.
 
Wadau kama wewe unampenda kiongozi huyu shupavu ingia hapa tuungane kumuunga mkono huyu Jembe na mzalendo CCM imekufa lakini Magufuli bado ana heshima na si fisadi kama baadhi ya wajumbe waliopo hata upinzani Naamini kuchagua mtu na si chama ndiyo itakayoivusha Tanzania yetu salama kwenye mtihani huu mgumu wa uchaguzi mwaka huu.

Ungana nasi kutengeneza timu ya Ushindi ya ndugu yetu John Pombe Magufuli na tunaamini atayafanyia kazi yale yoote tuliyokubaliana nae kuhusu kuifufua Tanzania inayozama...

Wasalaaam

+255776589044. Please add me kwenye group la hapa kazi tu!!
#hapakazitu
#mabadiliko peleka mamlaka husika ya mabadiliko ya tabia ya nchi.
 
Namba inasomeka mwaka huu.
NASEMA: Kura ya Urais nampa John Pombe Makufuri na Kura ya Upunge nampa UKAWA.
Muziki watachezea huko Bungeni. Natamani kufadhili mafuta ya magari ya kampeni za Magufuli lakini uwezo to ndo sina bali naendela kuomba Mungu atatenda

Hili ni tatizo mkuu, unapomuomba Mungu hutakiwi kumpangia Bali kumuomba akupe kiongozi kwa sbb yy anaangalia moyo sisi tunaangalia nje....

Mi nimejifunza hii kanisani
Ukiwa na mtu wako then akashindwa utaona Mungu hajakutendea haki!
So ushabiki unaishia nje when it comes to God kuwa huru Mungu hapangiwi
 
hili ni tatizo mkuu, unapomuomba mungu hutakiwi kumpangia bali kumuomba akupe kiongozi kwa sbb yy anaangalia moyo sisi tunaangalia nje....

Mi nimejifunza hii kanisani
ukiwa na mtu wako then akashindwa utaona mungu hajakutendea haki!
So ushabiki unaishia nje when it comes to god kuwa huru mungu hapangiwi

Wana JF
Mungu ametenda. Ameliokoa taifa hili kutoka kwenye mikono ya watekaji. Ama kweli eheeeeee
jamani nchi ilikuwa imeenda.
Sifa zote kwa Mzee Mkapa, Mzee Msekwa, Mzee Warioba na Mzee Mwinyi. Mungu awalinde na awazidishie karama zake.
Najua bado anatupenda na kamwe hawezi kuwaacha wana wa Israel wazame.
Tumshukuru mungu.
Naomba tutafute ibada ya shukrani kabla ya kuapishwa Mh. Magufuli. Na ibada hii hiwe ya dini zote.
Mungu muweza ya yote, amen
 
CCM na serikali yake chovu vimesahau kwamba vyombo vingi vya kimataifa vinaangalia upuuzi wote unaoendelea Star tv,Tbc na magazeti yake na waangalizi wanashangaa kwa nn TBC si ya UMMA ila ni ya CCM na inaonyesha upendeleo wa wazi kwa CCM,Uzushi unaofanywa na vyombo hivi unaonekana wazi kabisa TUME YA UCHAGUZI IKO KIMYA yote hayo uangalizi wa kimataifa unaona na Wamejua kabisa kuwa CCM maji yako Shingoni na kinachoendelea ni kutapatapa tu bado dakika chache chama kinazama jumla.

tumia japo kichwa kufikiri, waache kuangalia mgogoro wa syria wahangaike na nyie?
 
Back
Top Bottom