Timu bora ya soka duniani.

Timu yenye mashabiki wengi zaidi duniani na ndio timu ninayoipenda zaidi duniani MAN UTD,timu yenye mafanikio zaidi kwa mataji makubwa mengi zaidi REAL MADRID-ulaya mataji 9,timu inayocheza soka bora zaidi duniani kwa sasa ni BARCELONA,timu yenye mashabiki wanaojivunia zaidi timu yao japo mafanikio kidunchu ni ARSENAL
 
Naona mtibwa ni bora zaidi kwa sababu iliweza kuwachakaza yanga zote za tanzania
 
mbona huyo bingwa wao wa S.America aliburuzwa vibaya sana na Wacatalunya.

Timu kuwa bingwa si lazima iwe timu bora. Kuna factors nyingi zinazotofautisha UBINGWA na UBORA.

Mfano 1: Manchester Utd mara nyingi huwa mabingwa ingawa mara nyingi pia huwa si timu bora (hapa pana factor ya marefa).

Mfano 2: Simba na Yanga mara zote zinapokezana ubingwa, lakini timu bora Tanzania kwa kipindi kirefu tu ni SUKARI ya MTIBWA (hapa factor ya unazi wa viongozi wa TFF, marefa na wachezaji wenyewe inachangia).
 
arsenal ndio timu pekee kila mwaka inafikia malengo. lengo la kwanza kumaliza top 4 na lapili burudani na kutengeneza faida kwa mauzo ya wachezaji
 
Timu zipo nyingi duniani, ila wewe unafikiri ipi ndio inaongoza kwa ubora wa soka lake na mashabiki wake. Mi binafsi naona ni klabu iliyopo england jina lake linaanza na herufi A


kidali wazi pasipo shaka hapa naitaja AC Milan.

Ushahidi ninao, pumzi ya ubishi ninayo na maneno ya shombo hapa yamejaa kama Ndevu kwa Pirlo...
 
Timu zipo nyingi duniani, ila wewe unafikiri ipi ndio inaongoza kwa ubora wa soka lake na mashabiki wake. Mi binafsi naona ni klabu iliyopo england jina lake linaanza na herufi A
1517429_722467974464151_1991782232_n.jpg
 
Back
Top Bottom