Timoth Apiyo Alazwa Afrika Kusini

- Then next time usilete habari za familia za watu hapa JF, ya kuchinganisha familia za watu sidhani kama unataka niende hiyo avenue na wewe do you real want that?

- Lakini pia ninakushukuru sana kwa kuileta topic hii hujui tu what you did na Mungu atakuzidishia.

Respect.

FMES!

You have always had my support and respect on your contributions here at JF but I think in this topic you are out of respect to other people’s family privacy.

Na mtu aliyoleta topic hapa ajasema ulete coments zako za ohh Dr whoever hamsaidii baba yake. my question is how do you really know? Baba yake amewai kukulalamiia? Au ni umbea wako? And you said clearly you don’t have contacts with the family that is why you didn’t have phone number of the dr? so are you lying to wanaJF about your comments about huyu Dr?

To be honest I feel you have personal hate rage towards this person. Na wewe kama mwanJF amaye umetoa michango mingi humu kurekebisha na kuendeleza Tanzania na watanzania then you should be so ashamed of being shallow minded into knowing were your limit are with respect to family peace and respect.

Also if you are true friend of the late brother of this Dr Then you should learn how to respect his family and keep his family secret. That is what true friends do.

Would you please stop using the word ‘respect’ because you have none to other people’s family affairs.
 
1.
you have always had my support and respect on your contributions here at JF but I think in this topic you are out of respect to other people's family privacy.

- Kwanza umeleta uongo na topic yako, kwamba mzee amelazwa na blah! blah! ukweli ni kwamba haumwi sana na hiyo ya kwenda huko SA ni kawaida, sasa kama unajua juu ya People's Family Privacy usingeleta hii topic anyways, mimi nilifikiri kwamba kwanza utaomba masahama kwa kuela uongo, badala yake umeenda kutafuta dictionary na kujaribu kuandika English ambayo hata kuisema huwezi ili tu uonekane umo as of your usual!

2.
Na mtu aliyoleta topic hapa ajasema ulete coments zako za ohh Dr whoever hamsaidii baba yake.

- Ulipoleta topic ungesema the limit ya kuchangia, kama vile unavyompelekea Malecela masanduku ya zawadi, badala ya kupelekea ndugu zako masikini wa Mungu unampelekea mtu asiyeyahitaji, halafu the net thing unasema he is less than Chakubanga, ni binadam wa aina yako ndio wa hatari sana hapa duniani ndio maana mpaka leo nashangaa sana kwamba Mwakyembe amewezaje kushirkiana na mtu kama wewe yaani I am lost!

3.
my question is how do you really know? Baba yake amewai kukulalamiia? Au ni umbea wako? And you said clearly you don't have contacts with the family that is why you didn't have phone number of the dr? so are you lying to wanaJF about your comments about huyu Dr?

- Si unaona English ya kuokota inavyokusumbua, ningekwua na namba ya DK, au mawasiliano ya aina yoyote ningemtafuta siku nyingi, haya huyajui na ni better ukanyamaza tu kwa sababu wewe kwenu ni Magereza, karibu mile 15 kutoka Kinyerezi kwa huna clue na unachokisema, jamaa nimepata finally na Mtanzania akaunganisha na kumalizia, hayakuhusu.

4.
To be honest I feel you have personal hate rage towards this person. Na wewe kama mwanJF amaye umetoa michango mingi humu kurekebisha na kuendeleza Tanzania na watanzania then you should be so ashamed of being shallow minded into knowing were your limit are with respect to family peace and respect. Also if you are true friend of the late brother of this Dr Then you should learn how to respect his family and keep his family secret. That is what true friends do. Would you please stop using the word ‘respect' because you have none to other people's family affairs.

- Hapana you should be ashamed pale unapoweza kuwa na mke, halafu ukajaribu tena kumtongoza dada wa rafiki yako ambaye ni mke wa mtu, that is shallow minded, what is family affairs secrets kwako? Ningekuelewa kama ungesema nimeleta uongo hapo hata ungesema nini ningekupa support na kukuomba radhi, anayehusika amenisikia na kunielewa sasa nashangaa vipi mkuu pili pili inakuwasha vipi tena bro?

Kama ni urais Mwakyembe ataupata tu ukikazana kumsaidia adn then utapata what you have been looking for kwa muda mrefu sana, Mungu akujaolie na hizo ndoto zako, ila jaribu kuwa mkweli na acha utapeli, acha uanfiki, na jifunze kuwa na adabu na mheshimu mkeo.

Kumbuka msema ukweli siku zote ataendelea kuwa mpenzi wa Mungu

Respect

FMES.
 
baada ya wavaa nepi kutapakaa ulaya na marekani wenye heri wanachanganyikiwa. Ilikuwa ni kawaida ya wateule wachache kuzijua nchi za magharibi lakini kwa sasa wapo wabeba zege wengi wa dar walifika nchi hizo na kujipatia angalau vi ajira vya kubeba zege kwa malipo yanayofaa.
Ni kweli watoto wengi (na sio wote) wa wafanyakazi wa ngazi za juu wa serikali ya tanzania wameishia maisha ya ajabu na kuitia nchi hasara kubwa na taifa aibu kuu. Kwani walikuwa na uwezo mwingi wa kifedha kusoma na kupata kazi za maana na kuwa msaada mkubwa kwa nchi na watanzania wenzao ila wengi wameishia maisha ya kusadikika na less parental care na kuishia kusiko.

Nawashauri wengi waliotoka maisha mayai wakumbuke wazazi wengi wanazeeka na kustaafu ni wajibu wao kusoma kwa bidii ili waweze kuenzi hata wazazi wao kama sio nchi yao.

Na wale wenzangu namie tukaze nepi zetu kwani dunia ya leo ni mwendo kasi. Tujue kuwa sisi hatuwezi kupeleka wazazi wetu afrika ya kusini ngoma itachezwa hapa hapa bongo kwa maleria au kwa kwa kansa , kwa ukimwi au kwa mifupa.
Wavaa nepi tushirikiane kujenga angalau hospitali moja yenye hadhi ya kutibu na kustahimili magonjwa mengi na vifaa vya kisasa. Ili tufike wakati wa kuwaleta wataalamu badala ya kusambaza wagonjwa dunia nzima, itatupunguzia gharama na kuongeza wataalamu.

- Mkuu Kinepi-nepi, ahsante mkuu maana yako ni strong analysis ya situation, ubarikiwe, mwenye macho aone na mwenye masikio asikie.

Respect.

FMES.
 
1.

- Kwanza umeleta uongo na topic yako, kwamba mzee amelazwa na blah! blah! ukweli ni kwamba haumwi sana na hiyo ya kwenda huko SA ni kawaida, sasa kama unajua juu ya People's Family Privacy usingeleta hii topic anyways, mimi nilifikiri kwamba kwanza utaomba masahama kwa kuela uongo, badala yake umeenda kutafuta dictionary na kujaribu kuandika English ambayo hata kuisema huwezi ili tu uonekane umo as of your usual!

2.

- Ulipoleta topic ungesema the limit ya kuchangia, kama vile unavyompelekea Malecela masanduku ya zawadi, badala ya kupelekea ndugu zako masikini wa Mungu unampelekea mtu asiyeyahitaji, halafu the net thing unasema he is less than Chakubanga, ni binadam wa aina yako ndio wa hatari sana hapa duniani ndio maana mpaka leo nashangaa sana kwamba Mwakyembe amewezaje kushirkiana na mtu kama wewe yaani I am lost!

3.

- Si unaona English ya kuokota inavyokusumbua, ningekwua na namba ya DK, au mawasiliano ya aina yoyote ningemtafuta siku nyingi, haya huyajui na ni better ukanyamaza tu kwa sababu wewe kwenu ni Magereza, karibu mile 15 kutoka Kinyerezi kwa huna clue na unachokisema, jamaa nimepata finally na Mtanzania akaunganisha na kumalizia, hayakuhusu.

4.

- Hapana you should be ashamed pale unapoweza kuwa na mke, halafu ukajaribu tena kumtongoza dada wa rafiki yako ambaye ni mke wa mtu, that is shallow minded, what is family affairs secrets kwako? Ningekuelewa kama ungesema nimeleta uongo hapo hata ungesema nini ningekupa support na kukuomba radhi, anayehusika amenisikia na kunielewa sasa nashangaa vipi mkuu pili pili inakuwasha vipi tena bro?

Kama ni urais Mwakyembe ataupata tu ukikazana kumsaidia adn then utapata what you have been looking for kwa muda mrefu sana, Mungu akujaolie na hizo ndoto zako, ila jaribu kuwa mkweli na acha utapeli, acha uanfiki, na jifunze kuwa na adabu na mheshimu mkeo.

Kumbuka msema ukweli siku zote ataendelea kuwa mpenzi wa Mungu

Respect

FMES.

Is it just me or is this uncalled for and a bit too juvenile?
 
FMes na future-Tanzania,

Jamani ehh inatosha sasa. Somo limeshaeleweka. Tumeshamuanika sana Dr na familia yake. Inatosha jamani.

FMes, nakukumbusha tu kuwa aliyeleta topic hii ni PASCO na si future-Tanzania. Maana naanza kuona hili nalo linaleta kutokuelewana.

Just incase Mzee Apiyo akisoma haya yaliyoandikwa hapa, basi nanza kupata wasiwasi moyo wake utaanza kufanya kazi vipi. Yameandikwa mengi sasa hapa. Naomba Mungu asijesikia wala kusoma hii topic maana ............................
 
Kwa wale waamini wa Kristo tupo kwenye juma takatifu, na ni jana tu tulikuwa tunasherekea jumapili ya matawi - kila mmoja wetu leo na afunge kwa ajili ya kumwombea mzee Apiyo aweze kupata kupona haraka

Ameni
 
1.

- Kwanza umeleta uongo na topic yako, kwamba mzee amelazwa na blah! blah! ukweli ni kwamba haumwi sana na hiyo ya kwenda huko SA ni kawaida, sasa kama unajua juu ya People's Family Privacy usingeleta hii topic anyways, mimi nilifikiri kwamba kwanza utaomba masahama kwa kuela uongo, badala yake umeenda kutafuta dictionary na kujaribu kuandika English ambayo hata kuisema huwezi ili tu uonekane umo as of your usual!

2.

- Ulipoleta topic ungesema the limit ya kuchangia, kama vile unavyompelekea Malecela masanduku ya zawadi, badala ya kupelekea ndugu zako masikini wa Mungu unampelekea mtu asiyeyahitaji, halafu the net thing unasema he is less than Chakubanga, ni binadam wa aina yako ndio wa hatari sana hapa duniani ndio maana mpaka leo nashangaa sana kwamba Mwakyembe amewezaje kushirkiana na mtu kama wewe yaani I am lost!

3.

- Si unaona English ya kuokota inavyokusumbua, ningekwua na namba ya DK, au mawasiliano ya aina yoyote ningemtafuta siku nyingi, haya huyajui na ni better ukanyamaza tu kwa sababu wewe kwenu ni Magereza, karibu mile 15 kutoka Kinyerezi kwa huna clue na unachokisema, jamaa nimepata finally na Mtanzania akaunganisha na kumalizia, hayakuhusu.

4.

- Hapana you should be ashamed pale unapoweza kuwa na mke, halafu ukajaribu tena kumtongoza dada wa rafiki yako ambaye ni mke wa mtu, that is shallow minded, what is family affairs secrets kwako? Ningekuelewa kama ungesema nimeleta uongo hapo hata ungesema nini ningekupa support na kukuomba radhi, anayehusika amenisikia na kunielewa sasa nashangaa vipi mkuu pili pili inakuwasha vipi tena bro?

Kama ni urais Mwakyembe ataupata tu ukikazana kumsaidia adn then utapata what you have been looking for kwa muda mrefu sana, Mungu akujaolie na hizo ndoto zako, ila jaribu kuwa mkweli na acha utapeli, acha uanfiki, na jifunze kuwa na adabu na mheshimu mkeo.

Kumbuka msema ukweli siku zote ataendelea kuwa mpenzi wa Mungu

Respect

FMES.

Oh dear this is so fun and very immature. Are you sure this was intended to Future-Tanzania?

Field Marshall ES, Mimi future-Tanzania didn't start the topic. Please you might want to refer to 1st post to see who did! I believe it is someone called Pasco (if not mistaken and it was Tetesi) and if that the case then you probably owe me an apology?

Second, if you go through my posts histories, you will realize I have less interest in politics and I have never comment on anything regarding politics za Mwakyembe na CCM so on and I even don’t know how this dude look alike!!!! And I have no interest what so ever. So just to let you know Ms/Mr Field Marshall ES, acha kuandika andika upuuzi just to defend your inanity, kwasababu unazidisha kuonekana wee ni mpuuzi zaidi….

Third, I am not married and you are so wrong about my gender and so on. Here again, your comments talks about what kind of a person you really are... thinking you know everyone? Accusing people with no evidence!! What is the problem with you dude? Or maybe you are so stressed and feel ashamed for your disrespecting comments to this Dr and even to his late brother?

Forth and last, I think you should apologies to everyone here at JF. Public apology to this Dr would be great because I personally don’t believe you have got contact with this Dr, as to me you sound like one of the people mnaotuaribia nchi and families respect and harmonies kwa maneno ya umbea wa mitaani kama yako.

You comments today have made me rethink if you are not a politician or fisadi ambao mnatuharibia nchi.. and please Learn to respect others first before you use word ‘respect and peace’.
 
Mhh Future-Tanzania! unaonekana ni fundi kwenye malumbano. Unanikumbusha enzi za Khadija Kopa (TOT) na Nasma Khamis Kidogo (Muungano). Acha nijisomee tu haya malumbano.

In a serious note,namuombea kwa mungu wetu wa mbinguni amjalie afya njema Mzee wetu Timothy Apiyo ili aweze kurejea nyumbani akiwa na afya tele.Naamini mungu wetu atatenda jambo kwa Mzee wetu na atakuwa salama.

Amen
 
Jana ndiyo Mzee Timothy Apiyo kalazwa hospital hiyo ya Milpark. Wizara ya afya walichela kutuma pesa na akawa amefikia kwa rafiki yake.

Wizara ya Afya wanatuma pesa South Africa kwa mpango gani? Kila anaehitaji matibabu nje huwa anapata pesa za Wizara ya Afya? Hizo pesa zitumike kuleta hizo huduma hapa hapa kwetu Ilala na Mwananyamala Hospital wanakotibiwa kina Miamuna na Kisebengo. Hivi kuna mtu ana uchungu na hii nchi, na hawa wananchi wa chini hawa?

Kina Apiyo hawa ndio walikuwa wajenzi wa nchi, walishindwa kujenga hizi huduma, sasa waache kula kodi za wananchi ambao hawawezi kupata matibabu South Africa.
 
Si ishi maisha yangu kwa kuangalia maisha ya wengine.....kila mtu na maisha yake!!!

Hii topic nzima imejaa majungu, umbea na ujuaji juu ya maisha ya wengine as if "ninyi" maisha yenu ni supa kivile......ni vistori vya kwenye vijiwe vya kahawa, kwa fundi kinyozi/mama msusi, vijiwe vya unga/wapiga debe, kwa ufupi ni umbea mbea flani tu!!! Eti "maisha yao blah blah bla..." so? who cares? Ovyoooooo....
si umteaje kabisa FMES.......
 
Una frustration za maisha weee dogo....rudi kwenu Kibamba ukaendelee na ufundi baiskeli
 
1.

- Kwanza umeleta uongo na topic yako, kwamba mzee amelazwa na blah! blah! ukweli ni kwamba haumwi sana na hiyo ya kwenda huko SA ni kawaida, sasa kama unajua juu ya People's Family Privacy usingeleta hii topic anyways, mimi nilifikiri kwamba kwanza utaomba masahama kwa kuela uongo, badala yake umeenda kutafuta dictionary na kujaribu kuandika English ambayo hata kuisema huwezi ili tu uonekane umo as of your usual!

2.

- Ulipoleta topic ungesema the limit ya kuchangia, kama vile unavyompelekea Malecela masanduku ya zawadi, badala ya kupelekea ndugu zako masikini wa Mungu unampelekea mtu asiyeyahitaji, halafu the net thing unasema he is less than Chakubanga, ni binadam wa aina yako ndio wa hatari sana hapa duniani ndio maana mpaka leo nashangaa sana kwamba Mwakyembe amewezaje kushirkiana na mtu kama wewe yaani I am lost!

3.

- Si unaona English ya kuokota inavyokusumbua, ningekwua na namba ya DK, au mawasiliano ya aina yoyote ningemtafuta siku nyingi, haya huyajui na ni better ukanyamaza tu kwa sababu wewe kwenu ni Magereza, karibu mile 15 kutoka Kinyerezi kwa huna clue na unachokisema, jamaa nimepata finally na Mtanzania akaunganisha na kumalizia, hayakuhusu.

4.

- Hapana you should be ashamed pale unapoweza kuwa na mke, halafu ukajaribu tena kumtongoza dada wa rafiki yako ambaye ni mke wa mtu, that is shallow minded, what is family affairs secrets kwako? Ningekuelewa kama ungesema nimeleta uongo hapo hata ungesema nini ningekupa support na kukuomba radhi, anayehusika amenisikia na kunielewa sasa nashangaa vipi mkuu pili pili inakuwasha vipi tena bro?

Kama ni urais Mwakyembe ataupata tu ukikazana kumsaidia adn then utapata what you have been looking for kwa muda mrefu sana, Mungu akujaolie na hizo ndoto zako, ila jaribu kuwa mkweli na acha utapeli, acha uanfiki, na jifunze kuwa na adabu na mheshimu mkeo.

Kumbuka msema ukweli siku zote ataendelea kuwa mpenzi wa Mungu

Respect

FMES.

Mkuu FMES hivi si ulisaini ule mkataba wa AMANI,haya mambo yanatoka wapi tena?
 
Wizara ya Afya wanatuma pesa South Africa kwa mpango gani? Kila anaehitaji matibabu nje huwa anapata pesa za Wizara ya Afya? Hizo pesa zitumike kuleta hizo huduma hapa hapa kwetu Ilala na Mwananyamala Hospital wanakotibiwa kina Miamuna na Kisebengo. Hivi kuna mtu ana uchungu na hii nchi, na hawa wananchi wa chini hawa?

Kina Apiyo hawa ndio walikuwa wajenzi wa nchi, walishindwa kujenga hizi huduma, sasa waache kula kodi za wananchi ambao hawawezi kupata matibabu South Africa.

Uwiano Maalum, habari ya asubuhi?

Unafikiri hilo Mzee Apiyo halijui? Juzi tu kapoteza mtoto wake wa mwisho kwa sababu matibabu ya Muhimbili yako chini sana. Soma maelezo ya ukurasa wa kwanza tu uone kwa nini watu hawalaani matibabu yake, bila kujali gharama.

Umeshaamka? Tuliza munkari na tafuta historia ya mzee wetu, Timothy Apiyo na hapo utajua alikuwa nani na kafanya nini na kwa nini anastahili kwenda huko. Mengine yote sasa yako chini ya ROSTAM AZIZ. Sasa mwambie Rostam ajenge hizo hospital. Nina imani wewe atakusikiliza.
 
Unaniuliza habari ya asubuhi? Habari sio nzuri, kuna wananchi wenzangu wafa hoi, walala hoi, wanaanguka as we speak bila hizo luxuries za Apiyo kutibiwa South Africa.

Nani hamjui Timothy Apiyo alikuwa nani maisha haya? Whoever you hold him to have been, unadhani yeye ndio anastahili matibabu bora kuliko Chausiku na Karumekenge wa Magomeni Hospital? Kama yeye ndio kiongozi ambae wakati wao walishindwa kuleta hizi huduma basi wasile kodi, wasitafune jasho, la wafa hoi wa watu wa maisha ya chini.

Kuna sheria inayo govern maslahi ya viongozi wastaafu ikiiwemo matibabu. Huyu Apiyo hayumo humo, hakuwa Rais, Waziri Mkuu, Makamu wa Rais. Hakuwa hata waziri. Wizara ya Afya imetuma hela South Africa kwa mpango gani? Kama ni kwa utaratibu wa kila Mtanzania je huyu Apiyo alipanga mstari? You bet he cut in lines. You bet he did.

Mimi siamini kwamba kuna maisha ya mtu bora kuliko ya mwingine. Kama ana privileges za uongozi, ni utaratibu na sheria gani hiyo iliyotumika kumtumia hela za Wizara ya Afya? Kama wafa hoi wa Amana na Magomeni hospital wanafariki bila huduma basi tufe wote hivyo hivyo mpaka tutakapotia akili kwa kuboresha hizi huduma kwa wote. Tufe.
 
Last edited by a moderator:

Umeambiwa mzee kapooza nusu ya mwili. Ni vitu gani vilitumika hadi awe anatibiwa SA, labda FMes atasaidia hili maana anafahamu ni nani walipiga makelele kwa Kikwete ili hawa wazee watatu wawe wanatibiwa nje mara matibabu hayo yanapokosekana Tanzania. Umeambiwa kuwa mwanae kafariki juzijuzi. Unafikiri mzee huko anachekela kuwa yuko kwenye hospital ya luxury? Ninaamini kuwa angelipenda sana mbadilishane. Wee nenda ukapate ugonjwa wake na yeye awe mzima anazoza hapa kwenye JF.

Mengineyo ni hivi:-

1. Kama una HASIRA basi pole sana, kunywa maji ushushe donge la kooni.

2. Kama una wivu, mhhhh wee tafuta kamba ufuate maneno ya Saida Karoli.
 
Mhh Future-Tanzania! unaonekana ni fundi kwenye malumbano. Unanikumbusha enzi za Khadija Kopa (TOT) na Nasma Khamis Kidogo (Muungano). Acha nijisomee tu haya malumbano.

In a serious note,namuombea kwa mungu wetu wa mbinguni amjalie afya njema Mzee wetu Timothy Apiyo ili aweze kurejea nyumbani akiwa na afya tele.Naamini mungu wetu atatenda jambo kwa Mzee wetu na atakuwa salama.

Amen

Sio hivyo Kinyamana. humu JF ni kueleweshana, sasa mtu kama akianza fujo inabidi tukimbizane na kubanana humu humu haa kwi kwi kwi...

Na mimi namwombea mzee wa watu afya njema na amani kwa wanafamilia yake.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom