Timoth Apiyo Alazwa Afrika Kusini

Mods, naomba badilisha heading ya hii thread, ondoa neno 'Tetesi' weka neno 'Mzee'.
Mwana JF S.Sambala ameshatupatia uthibitisho wa Mzee Apiyo kulazwa.

Pia naombeni tuwe na a bit more humility kwenye family sensetive issues, tuondoe speculations na comments zozote ambazo sio za kuleta faraja kwa wauguza na wanafamilia.

Ni kuendeleza sala na maombi ya uponyaji.
amen.
 
Mkuu FMES Heshima mbele Mkuu,Nafikiri maneno yako mazito Dr.Apiyo atakuwa ameyasikia,na itakuwa vyema uyaachie hapo,hakuna sababu yoyote ya maendelezo ya kumuomba Dr.Akumbuke nyumbani ,eti kwa sababu Wazazi wamekuwa Wazee ,nina uhakika Dr analijua hilo vizuri kuliko wewe.kumbuka kwamba Mr Apiyo ni baba yake mzazi.

Mzee Apiyo ni mgonjwa kwa muda mrefu sasa,ni hivi karibuni tu hali yake ya Afya ilizidi kunyongea,labda kwa sababu ya kukumbwa na matatizo ya misiba ya mfululizo na ukizingatia afya na umri wake ni vitu vinavyopelekea magonjwa mengi...

Mimi kama wewe (FMES) Namfahamu Mzee Apiyo kwa ukaribu...na bila uoga naweza kusema kuwa Serikali imechangia sana matatizo ya maisha ya Mzee Apiyo...Mzee huyu kama walivyo wengine kwenye Utawala wa Mwalimu hawakuwa watu wa kujilimbikizia mali,mara baada ya kustaafu amekuwa mtu wa kuhangaika mpaka hivi karibuni ambapo baadhi ya viongozi wakiongozwa na Waziri Wassira walipomuomba Mzee Kikwete awape msaada viongozi hawa,ikiwa ni pamoja na matibabu na angalau usafiri...sio Apiyo tu wapo wastaafu wengine wawili wanaangaliwa kwa kiwango hicho.

Tukimtupia lawama Dr.Apiyo tutakuwa tunamuonea,Dr kama vijana wengine waliosomea western Europe hawakuwa na uwezo wa kupata pesa za kuweza ku-support familia nyumbani,hivi sasa baada ya masomo ndio angalau ana uwezo wa kusaidia kwa pesa na ushauri,na anafanya hivyo.Ndugu zetu mnaosoma/fanyakazi huko America na Europe mna uwezo wa kumudu maisha na kutoa msaada nyumbani,hali hiyo si kwa wote.....

Kamanda FMES. Dr ameupata ujumbe vilivyo, na ni imani yangu atawasiliana nawe...Hivi sasa sote kwa pamoja tukusanye nguvu zetu na kumuombea Mzee apate nafuu ya haraka na arudi nyumbani.
.

Mkuu Mwawado,

-Usinilazimishe nikuvunjie heshima ambayo nimekua nikikupa for a longtime bila sababu,

- Now listen to this, ninasema hivi ninamuambia straight DK. Onamu Apiyo, mtoto wa kwanza wa Mzee Apiyo aliyeko Poland, kwamba wazee wanazeeka na wanahitaji msaada wa karibu, and I am dead serious.

- Mwawado, usiniletee maneno ya kumjua au kutomjua Mzee wangu na jirani Apiyo, kwa sababu you do not know anything, na hata hayo ya serikali huyajui kabisaa, sio kila ishu hapa ni ya mchezo mchezo, ninaiongelea hii ishu with emotions kwa sababu,

- Now back off kwa sababu hapa ninaongelea family matters, sio siasa za JF, na hujui katika ujumbe wangu ninabeba wananchi wangapi mgongoni mwangu, na kwa sababu gani. Katika kijiji chetu Kinyerezi inapokuja kwenye umoja na mshikamano huwa hatujali baba ni wa nani wote huwa tunakuwa kitu kimoja, na yeye Onamu hilo analijua vizuri sana.

Ndugu DK, naomba unisikie tena, ninaomba nikuhakikishie kwamba mimi ni jirani na rafiki mpenzi wa mdogo wako Marehemu Wiki, na alipokuwa Berlin ilikuwa nimtumie tiketi ahamie US nilipokuwa then, na kila ninapopata nafasi huwa ninatembelea kaburi lake kule Gongolamboto.

Respect.

Field Marshall ES

Wakuu,

Naomba hili tuliache na tumeongea vya kutosha. Kwasababu ni jambo la kifamilia kwa maana ndugu, marafiki na majirani, ni vizuri sana likiongelewa pembeni. Sidhani kama tutasaidia kuondoa au kupunguza tatizo kwa kuendeleza huu mjadala hapa.

Mkuu FMES, please please! wacha tumalize huu mjadala. Mkuu Mwawado, naomba tusiendelee kujibizana juu ya hili.

Amani na iwe kwenu nyote!
 
Mkuu FMES Heshima mbele Mkuu,Nafikiri maneno yako mazito Dr.Apiyo atakuwa ameyasikia,na itakuwa vyema uyaachie hapo,hakuna sababu yoyote ya maendelezo ya kumuomba Dr.Akumbuke nyumbani ,eti kwa sababu Wazazi wamekuwa Wazee ,nina uhakika Dr analijua hilo vizuri kuliko wewe.kumbuka kwamba Mr Apiyo ni baba yake mzazi.
ona maneno ya heshima na mtu mzima alipoandika hapo juu.....

....then huyu jirani nae kaja kama moto wa kifuu

Mkuu Mwawado,

-Usinilazimishe nikuvunjie heshima ambayo nimekua nikikupa for a longtime bila sababu,

Respect.

Field Marshall ES

kwanza kaanza kwa mkwara......huyu huyu ndio alieleta ule mkataba wa kusaini amani....watu bana.....hii ni kama blackmail ina maana mwawado hatakiwi kusema anachokijua akisema tu......anavunjiwa heshima

- Mwawado, usiniletee maneno ya kumjua au kutomjua Mzee wangu na jirani Apiyo, kwa sababu you do not know anything,

Field Marshall ES

alafu sasa anaona kujua watu dili dunia hii....wenzake wamekaa kimya......mkuu mwawado kusema politely kamjia juu...mwawado hatakiwi kabisa kuweka neno eti hamjui.....

Katika kijiji chetu Kinyerezi inapokuja kwenye umoja na mshikamano huwa hatujali baba ni wa nani wote huwa tunakuwa kitu kimoja

Field Marshall ES

mbona hakujaitishwa mkutano kinyerezi wewe ni mwakilishi wa nani? naishi kinyerezi sijasikia mwakilishi wa kijiji chetu katumwa amwambia Dr amuangalie babake......

na alipokuwa Berlin ilikuwa nimtumie tiketi ahamie US nilipokuwa then

Field Marshall ES

Huwa haachi.......kwa hiyo tufanyaje...?

Respect.

Field Marshall ES

huwa ananiacha hoi anamalizia na hilo.......

FMES mimi kama mkazi wa kinyerezi hatuna muakilishi kwenye internet alietumwa kumwambia Dr maneno hayo.......
 
Wachangiaji,

Jamani ehhh, ujumbe utafika kwa Dr. Ouma Apiyo (siyo Onamu).
FMes, lazima ujuwe kwamba, maisha ya nchi za Eastern Europe miaka hiyo yalikuwa magumu sana sana. Kwanza kama mwanafunzi ulikuwa huruhusiwe kufanya kazi. Hivyo ilikuwa unaishi kwa pesa ya Wapolishi (kidogo sana) na kupata TUA (Toping Up Allowance) ambao ilikuwa sijui dola 70 kwa mwezi?

Waluokuja kusoma nchi hizo wengi walikuwa wakiitwa walevi na siku wakirudi baada ya miaka 7, basi wanakuja na mavitabu ya Kipolishi/ Bulgaria (akina Sarungi), Kirusi (akina Karamagi) nk na juu yake basi ni mke wa Kizungu na vitoto vifanta (au Pundamilia??). Ilikuwa inashangaza watu kuwa mmoja kaenda Japan miaka miwili kaja na magari 4, na aliyeko Poland kaja na mke tu. Hapo ilianza maneno kuwa alikuwa Mlevi tu na wanawake. Jambo ambalo halikuwa kweli.

Apiyo hakuwa tofauti na kundi zima. Tena heri ya Urusi walikuwa hata wanafanya biashara kwani nauli ya ndege ilikuwa dola 300 tu kwenda Tanzania na kurudi na huku umeweka madude kibao kutoka Urusi. Miaka ilienda na nyie mnashangaa huyu kijana mbona kimya? Walipomaliza shule yeye na mke wake mambo yakaanza kubadilika walipoanza kufanya kazi. Sasa hivi anatoa msaada mkubwa sana kwa mzazi wake. Kuna vitu yule mzee kama asingelikuwa Apiyo basi si ajabu angelikuwa ameshafariki. Mfano ni wakati kafariki ndugu yake kijijini na mzee akataka kwenda kwenye mazishi. Apiyo aligoma na hadi alipoenda mwaka juzi ndiyo akamchukua kwa ndege hadi huko kijijini. Muda huo Dr alikuwa na friji la madawa na madawa aliyotoka nayo huku just incase akizidiwa. Alipoona kaburi la nduguye na kulala basi next day safari ya kurudi. Kama mzee angelizidiwa basi alikuwa amejiandaa vya kutosha na si kama angelienda mzee peke yake huko kijijini.

Ujumbe kwa Apiyo utafika ingawa ninavyofahamu mie ni kwamba, jamaa yuko karibu sana na Mzee. Rafiki zake Apiyo wako karibu sana na Mzee, hasa Benny. Watanzania waliomaliza shule Poland wako karibu sana na mzee. Dr. kasota sana maisha ya miaka ya masomo na alipoanza kufanya kazi. Sasa hivi hali ni tofauti na msaada wake nyumbani ni mkubwa sana sana. Pia lazima tukumbuke kuwa na yeye huku watoto wanakua na mwingine ndiyo kaanza chuo kikuu tayari na hapo majukumu yanakuwa mengi zaidi maana nauli, ada, fedha ya kujikimu, mahitaji mengine ya shuleni nk nk...

Anyway, jamaa atakuwepo Tanzania mwezi wa tano mwanzoni. Hivyo kama mtajiweka sawa basi mwaweza kufanya naye kikao akiwa huko na kumsikiliza usemi wake na nyie kumpa usemi wenu. Vinginevyo anasema kuwa kweli mdogo wake (marehemu) alikuwa mshikaji wako hasahasa na wala siwezi bisha ulikuwa na mpango wa kumleta USA.
 
ona maneno ya heshima na mtu mzima alipoandika hapo juu.....

....then huyu jirani nae kaja kama moto wa kifuu

kwanza kaanza kwa mkwara......huyu huyu ndio alieleta ule mkataba wa kusaini amani....watu bana.....hii ni kama blackmail ina maana mwawado hatakiwi kusema anachokijua akisema tu......anavunjiwa heshima

alafu sasa anaona kujua watu dili dunia hii....wenzake wamekaa kimya......mkuu mwawado kusema politely kamjia juu...mwawado hatakiwi kabisa kuweka neno eti hamjui.....

mbona hakujaitishwa mkutano kinyerezi wewe ni mwakilishi wa nani? naishi kinyerezi sijasikia mwakilishi wa kijiji chetu katumwa amwambia Dr amuangalie babake......

Huwa haachi.......kwa hiyo tufanyaje...?

huwa ananiacha hoi anamalizia na hilo.......

FMES mimi kama mkazi wa kinyerezi hatuna muakilishi kwenye internet alietumwa kumwambia Dr maneno hayo.......

- Pole sana mkuu, kijiji cha Kinyerezi tunaishi very serious people na huwa hatuna mchezo kwenye umoja wetu, uko out of the line na reality.

Respect.

FMES!
 
kwanini watanzania wasiache watu na familia zao waishi kama watakavyo na sehemu yoyote watakayo?

Field Marshall ES, mbona anamngangania huyu jamaa awe karibu na baba yake? how do you know he is not? nyie ndio watu mnaochonganisha miji/familia za watu.. sorry if i have touch inner part of some people here.. its just i couldn't stand watu mnavyoongelea familia za watu. nafikiri watu muunze kujua how far to go with respect to other people families

- Then next time usilete habari za familia za watu hapa JF, ya kuchinganisha familia za watu sidhani kama unataka niende hiyo avenue na wewe do you real want that?

- Lakini pia ninakushukuru sana kwa kuileta topic hii hujui tu what you did na Mungu atakuzidishia.

Respect.

FMES!
 
Well, kama mnamjali huyu mzee kwa dhati na familia yake, si mumtafute huyo mwanae kwa njia za kistaarabu? Sio ustaarabu kuanika mambo ya familia yao kwenye mtandao, it's a bit immature, mambo ya familia hamwezi jua, so u-know it all hausaidii wala sio "ujirani" mwema hata kidogo...
 
- Pole sana mkuu, kijiji cha Kinyerezi tunaishi very serious people na huwa hatuna mchezo kwenye umoja wetu, uko out of the line na reality.

Respect.

FMES!
serious people hawezi kuwa wewe....kama unamjua dr kwanini usimpigie simu kuliko kuja kumwambilia kwenye internet.....you are not as you think......kwanza nimekupa heshima sana kukaa na mie mtaa mmoja....shukuru mungu

ahsante sana mkuu.....nimemuwekea na bold aone vizuri

Well, kama mnamjali huyu mzee kwa dhati na familia yake, si mumtafute huyo mwanae kwa njia za kistaarabu? Sio ustaarabu kuanika mambo ya familia yao kwenye mtandao, it's a bit immature, mambo ya familia hamwezi jua, so u-know it all hausaidii wala sio "ujirani" mwema hata kidogo...
 
serious people hawezi kuwa wewe....kama unamjua dr kwanini usimpigie simu kuliko kuja kumwambilia kwenye internet.....you are not as you think......kwanza nimekupa heshima sana kukaa na mie mtaa mmoja....shukuru mungu

ahsante sana mkuu.....nimemuwekea na bold aone vizuri

Mazee naona hutaki kulea pimbi hapa! mambo mengine bwana huwezi amini lakini ndo hivyo tutafika tu...
 
Well, kama mnamjali huyu mzee kwa dhati na familia yake, si mumtafute huyo mwanae kwa njia za kistaarabu? Sio ustaarabu kuanika mambo ya familia yao kwenye mtandao, it's a bit immature, mambo ya familia hamwezi jua, so u-know it all hausaidii wala sio "ujirani" mwema hata kidogo...

Nkamangi,

Mtoto wake anafahamika (Dr. Apiyo) na mie muda wowote naweza kuwasiliana naye. Hilo halina tatizo. Jamaa yuko karibu sana na mzazi wake na ndugu kwa ujumla. Hata mwaka jana, kuna ndugu zake walikuja hapa kumtembelea/kutembea Poland kutoka Tanzania. Alichukua likizo na kuwa nao na kuwapeleka hadi kuangalia concentation camps za Wajeruman. Hiyo pekee inaonyesha kuwa jamaa hajajifanya kisiwa. Ni mtu anayepatikana kwa urahisi sana tu.

Kilichotokea hapa ni watu kutokufahamu kuwa jamaa ana mawasiliano mazuri sana na mzazi wake na ndugu kwa ujumla. Huwakimbiza ndugu zake mbio mbio mara wanapozembea kumshughulikia mzazi. Na kwa kimila za kwao, yeye kama mtoto mkubwa ndiye mwenye last say kwa sasa. Hivyo ingawa yuko hapa Poland, kila jambo muhimu kifamilia, yeye lazima atoe GO AHEAD. Hivyo ni au yeye kupigiwa simu au kupiga simu. Jamaa ni kaka mkubwa wa kwelikweli. Pia hujitahidi mara kwa mara kwenda nyumbani kuangalia hali halisi ilivyo na si kuwa kabweteka tu hapa na kakalia kupiga simu.

Naona hili nimeelewesha sana. Aliyetaka kufahamu hali ikoje basi kashafahamu. Vinginevyo sidhani kama hata Apiyo mwenyewe atamuelewesha.
 
serious people hawezi kuwa wewe....kama unamjua dr kwanini usimpigie simu kuliko kuja kumwambilia kwenye internet.....you are not as you think......kwanza nimekupa heshima sana kukaa na mie mtaa mmoja....shukuru mungu

ahsante sana mkuu.....nimemuwekea na bold aone vizuri

- Ningekua ninamjua na nina mawasiliano yake ningeshamtafuta, na ninaishukuru sana hii topic na JF, maana sasa finally nimempata na ni furaha ya wanakiji wengi sana, hayo mengine ni ya kawaida kwa wasioelewa kitu wanachokichangia, pili pili ikiwa shamba isikuwashe!

Thanxs na karibuni sana Kinyerezi, maana ni tambarare na amani pamoja na mshikamano.

Wazee wa sauti ya umeme FMES!

Kwanini kesho jioni msikutane kwenye mtaa wenu na mkazipiga kidogo?
sio mkazi wa mtaani bana huyu hajui lolote linaloendelea anajifanya msemami wa mtaa na nisingikuwepo kesho angekwenda bongo redio au klh news kuongea na si msemaji wetu.....
 
Mtoto wake anafahamika (Dr. Apiyo) na mie muda wowote naweza kuwasiliana naye. Hilo halina tatizo. Jamaa yuko karibu sana na mzazi wake na ndugu kwa ujumla. Hata mwaka jana, kuna ndugu zake walikuja hapa kumtembelea/kutembea Poland kutoka Tanzania. Alichukua likizo na kuwa nao na kuwapeleka hadi kuangalia concentation camps za Wajeruman. Hiyo pekee inaonyesha kuwa jamaa hajajifanya kisiwa. Ni mtu anayepatikana kwa urahisi sana tu.
asante mkuu kwa ufafanuzi huyu anaejifanya mwakilishi wetu wa kinyerezi anajifanya kujua sana familia ya Dr......nashukuru wewe umewaona wanandugu wake waki enjoy nae huko poland yeye huyu mwakilishi anataka kuchonganisha ndugu
 
- Ningekua ninamjua na nina mawasiliano yake ningeshamtafuta, na ninaishukuru sana hii topic na JF, maana sasa finally nimempata na ni furaha ya wanakiji wengi sana, hayo mengine ni ya kawaida kwa wasioelewa kitu wanachokichangia, pili pili ikiwa shamba isikuwashe!

Thanxs na karibuni sana Kinyerezi, maana ni tambarare na amani pamoja na mshikamano.

Wazee wa sauti ya umeme FMES!

Kama humjui iweje useme maneno yale dhidi yake?

unajuaje kama hawasiliani na nyumbani? si hujui contact zake.....wewe kila kitu unaleta politiki bana......

.....wana kinyerezi hatuko hivyo.....
 
Kama humjui iweje useme maneno yale dhidi yake?

unajuaje kama hawasiliani na nyumbani? si hujui contact zake.....wewe kila kitu unaleta politiki bana......

.....wana kinyerezi hatuko hivyo.....

- Mkuu haya yameshamalizwa pembeni na I am done, na Mkulu Mtanzania shukrani kwa all your efforts, Mungu akubarikie.

- Mkulu wangu Yo-yovipi mazee, sasa mbona umekimbia kule kwenye kupasuka kwa uchumi? njoo kule chini tumkome nyani maana unahitaji darasa zito sana kwenye uchum njoo tuvine na facts bila dataz mkuu si umeanza mwenyewe Bwa! ha! ha! ah! ha!

Respect.

FMES!
 
Mods, naomba badilisha heading ya hii thread, ondoa neno 'Tetesi' weka neno 'Mzee'.
Mwana JF S.Sambala ameshatupatia uthibitisho wa Mzee Apiyo kulazwa.

Pia naombeni tuwe na a bit more humility kwenye family sensetive issues, tuondoe speculations na comments zozote ambazo sio za kuleta faraja kwa wauguza na wanafamilia.

Ni kuendeleza sala na maombi ya uponyaji.
amen.

Mjadala umetosha, Tuendeleze sala na maombi ya uponyaji.
 
baada ya wavaa nepi kutapakaa ulaya na marekani wenye heri wanachanganyikiwa. Ilikuwa ni kawaida ya wateule wachache kuzijua nchi za magharibi lakini kwa sasa wapo wabeba zege wengi wa dar walifika nchi hizo na kujipatia angalau vi ajira vya kubeba zege kwa malipo yanayofaa.
Ni kweli watoto wengi (na sio wote) wa wafanyakazi wa ngazi za juu wa serikali ya tanzania wameishia maisha ya ajabu na kuitia nchi hasara kubwa na taifa aibu kuu. Kwani walikuwa na uwezo mwingi wa kifedha kusoma na kupata kazi za maana na kuwa msaada mkubwa kwa nchi na watanzania wenzao ila wengi wameishia maisha ya kusadikika na less parental care na kuishia kusiko.

Nawashauri wengi waliotoka maisha mayai wakumbuke wazazi wengi wanazeeka na kustaafu ni wajibu wao kusoma kwa bidii ili waweze kuenzi hata wazazi wao kama sio nchi yao.

Na wale wenzangu namie tukaze nepi zetu kwani dunia ya leo ni mwendo kasi. Tujue kuwa sisi hatuwezi kupeleka wazazi wetu afrika ya kusini ngoma itachezwa hapa hapa bongo kwa maleria au kwa kwa kansa , kwa ukimwi au kwa mifupa.
Wavaa nepi tushirikiane kujenga angalau hospitali moja yenye hadhi ya kutibu na kustahimili magonjwa mengi na vifaa vya kisasa. Ili tufike wakati wa kuwaleta wataalamu badala ya kusambaza wagonjwa dunia nzima, itatupunguzia gharama na kuongeza wataalamu.
 
Back
Top Bottom