Mzee Apio kweli ana kumbukumbu kali. Kazeeka sana lakini anamkumbuka kila mtu kwa jina na kazi aliyokua akifanya. Nimempenda sana. Anasema sikio lake moja halisikii sababu ya milio ya simu alizokuwa akipokea toka,mstali wa mbele.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.