Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,119
- 9,045
MMM umemuaddress nani hiyo rai yako?? maana kama ni serikali/watawala, bado wamelala
Tena usingizi mzito kweli kweli...pengine tutakuja kuona madhara ya kutotatua matatizo mara moja when we are retired and get the pinch these innocents get at the hospitals.