Tiketi kwenye daladala

1. Tunza mazingira
2. Weka jiji lako safi
3. Kubali mambo yote Loliondo
4. Sala na kazi au Kazi na sala
5. With God everything is possible
6. Urithi wa mtoto ni elimu
7. Hatuhusiki na upotevu wa mali ndani ya gari
8. Kauli njema ibada
9. Yeremia 33.3
10. Karibu tena
11. Husiogope kazi
12. Mpaji Mungu
13. Allah Karim
14. Hacha dhambi hukumu ipo


Nina collection ya tiketi za vyombo vyote vya usafiri ambavyo nilishawahi kupanda.

Namba 9 hapo kitu tabibu au majinjah trans!
1 Yatima adeki
2 baba ako analo
3 wosia wa baba
4 abiria chunga mzigo wako
5 nauli hairudishwi
 
Dah mimi huwa hata siangalii hizo tikiti naziweka kwa makini sana zisipotee nikalipishwa nauli tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom