Tigo waporaji!!

Kiby

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
6,899
4,623
Jamani kampuni ya tigo nahisi kuna deni wanalodaiwa sasa wameamua kulilipa kwa kuwapora wateja. Kwa mara ya tatu leo nimeweka pesa kwenyi line yangu ya tigo na kesho yake kukuta imekombwa. Nilijishuku huenda nimetumia bila kujua kwa mara ya kwanza, mara ya pili bado nikawa najishuku, sasa hii ya tatu ni jana nilitia buku nikasema hii nitaimonita kwa tahadhari. Nimechungulia salio leo nikakuta zimebaki sent 85 wakati sikufanya chochote na hii handset iliyokuwa na line ya tigo.
TUTAFIKA?

.
 
hahahahaaaaa, itakua mlikopa bila kulipa.....vigezo na masharti kuzingatiwa!!!
 
Kila tar 30 au 31 Tigo hufanya wizi wa kutisha na inawezekana ni mitandao yote pia! Watumiaji wa simu na mitandao hatuna mjomba! Tumeliwa...!
 
hahahahaaaaa, itakua mlikopa bila kulipa.....vigezo na masharti kuzingatiwa!!!
<br />
<br />

Mkuu niliwahi kopa mia tano tu na ni kama miezi mitano iliyopita na nililipa siku ileile. Tena nakumbuka niliweka pesa kabla ya kutumia mkopo na ilikatwa hata kabla sijaitumia.
.
 
bwana mkubwa au unakopa sana halafu lunasahau kulipa ukifyatuliwa unalalamika. Lakini niwajulishe Watanzania pia kuwa kuna wakati Makampuni haya ya simu ukipiga simu utajikuta kuna kibwagizo cha wimbo wa kampuni hadi pale utakapopokelewa simu yako. Katika wakati huu unakatwa vijicent. Please Take care mashart hayazingatiwi.
 
Jamani kampuni ya tigo nahisi kuna deni wanalodaiwa sasa wameamua kulilipa kwa kuwapora wateja. Kwa mara ya tatu leo nimeweka pesa kwenyi line yangu ya tigo na kesho yake kukuta imekombwa. Nilijishuku huenda nimetumia bila kujua kwa mara ya kwanza, mara ya pili bado nikawa najishuku, sasa hii ya tatu ni jana nilitia buku nikasema hii nitaimonita kwa tahadhari. Nimechungulia salio leo nikakuta zimebaki sent 85 wakati sikufanya chochote na hii handset iliyokuwa na line ya tigo.
TUTAFIKA?

.

Kaka Hii ni kweli. Tigo wanaibia sana wateja. Mimi mama yangu tulikuwa twamamishia pesa kwenye simu kila wakati lakini bila kuitumia anakuta imekwisha kwenye simu....imebidi tumwambie anunue line nyingine aitupe ile. Kibaya zaidi hatujui wa kumlalamikia ni nani. Ni very bud reputation kusema ukweli
 
Back
Top Bottom