Tigo Vipi Jamani.....

mkuu jaribu kuzima cm yako na kuwasha tena inatokeaga sana kwa tgo na mitandao mingine maumivu yakizidi karibu zantel
 
Yeah, tiGO wamekuwa kimeo cku hz. Mtu anaweya asizime simu afu ukaambiwa hapatikani. Mpaka kichefuchefu yani!
 
mi nimehama tigo jamani, mtandao unasumbua mbaya hata haufai, nakumbuka kale kamsemo ka nafuu gharama
 
Kwani amekwambia simu ndio inamatatizo au Tigo yake?

tigo yake aina tatizo soma maelezo vzuri mkuu na nimemanisha nilichokisema some time cm zinastack kiaina ukizima na kuwasha unakuwa kama umerestart inaanza a fresh mm inanitokea sana
 
yp.tigo sometime inazingua..ila what to do!ndo the most cheap one n most of people wanatumia tgo!
 
Back
Top Bottom