Tigo thumni ni jambo zuri au kuna tatizo?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,883
Kwanza niseme nimefurahishwa mno na kampuni
ya TIGO jinsi wanavyo dhibiti soko lao na kuwabana wapinzani wao hadi mwisho....

kama hakuna sheria yeyote iliyovunjwa nafikiri hii kampuni ya TIGO
wanastahili zawadi au tuzo fulani....
hasa kwa kuwasaidia watanzania wa kawaida....kupata huduma...
na pili kwa kuonyesha ubunifu na ujanja wa kibiashara ambao unapaswa
kuigwa........

now swali ni je yote wanayoyafanya TIGO NI FAIR KWA INDUSTRY??????
KUNA HABARI VODA HUENDA WAKAFUNGA TAWI LA TANZANIA.....
JE IS IT A GOOD NEWS FOR COMPETITION IN THE FUTURE........??????

HIVI SHERIA ZA USHINDANI ZINASEMAJE NA ZINAFUATWA KWELI?????

JE IN THE LONG RUN IS IT GOOD FOR CONSUMERS?????
JE TIGO WANAPATA FAIDA??????
NA SERIKALI NA TAIFA KUNA FAIDA HASA KAMA VODA WATAFUNGA VIRAGO
KAMA TETESI ZINAVYOSEMA????????

WAJUZI MKITUELEWESHA ITAKUWA SAFI SANA.....
 
Binafsi sioni tatizo kwenye hizi sera za tigo especially kama intention yao ni genuine kuwasaidia watanzania wa kipato cha chini ambao wanaminywa sana na gharama kubwa za mitandao mingine ya simu, it is a marketing strategy na waha uhuru wa kufanya watakavyo mradi tu wanalipa kodi serikalini na hawavunji miiko ya fair competititon, kushusha bei ya huduma sio unfair practice kwenye biashara hususani kwenye sekta kama hiyo ambayo hakuna interference ya serikali kwenye upangaji wa bei ya huduma.,waache tu wajizolee wateja ili na hao wenzao wajifunze maana wanashindwa kuelewa wanafanya biashara kwenye mazingira gani.,kama mtu wa kawaida inashindwa kuingiza hata 2000 kwa siku, ukimwekea gharama ya huduma muhimu kama mawasiliano kwa sh. karibu 400 kwa dakika si unaendelea kumuumiza tu.
 
Mhhh labda....
But what if voda na wengine wakiondoka..
Tigo wapandishe gharama?????????
 
Who are voda by the way?
Wakishindwa waondoke bana!
Whocares?...Ni wezi wale!..Wao wakiondoka wanakuja wengine!
Mtindo wa tigo ni mzuri sana, japo kitendo cha kukatisha hiyo huduma saa 11-4 usiku kinaboa, but big up to them!
 
wote ni wezi hakuna aliyemuaminifu so msijisumbue kutoa lawama na kujizolea dhambi zisizo za lazima. Faida wanatengeneza sana hilo punguzo ni danganya toto ili muwe mnabwajaja sana kwenye simu in the end mnaishia kutumia pesa nyingi kuliko ambazo mngetumia kama gharama zingekuwa juu.

maana siku hizi ni umbea hasa unaoongelewa kwenye simu kama hamuamini kaeni kwenye mikusanyiko ya watu
 
There is always a catch, always!

I agree with you kabisa. Wanatufanya wajinga lakini dakika ya kwanza inagharimu shilingi 1 na senti 25 so wameongeza gharama kwa senti 25 halafu wanasema wamepunguza hadi thumni. Wote tunajua watega wengi wa Tigo wanaongea chini ya dakika moja kwa hito mwisho wa siku hiyo thumni wala hapati kuitumia. Changa la macho hilo.
 
Back
Top Bottom