Tigo-pesa na m-pesa

Alwaz

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
6,829
10,360
Watu wamekuwa wakijiuliza ni benki gani yenye huduma mbovu zaidi?.
Hii ni kwa vile wamechoshwa na foleni na usumbufu usio wa lazima wakati mwengine katika mabenki.

Nionavyo mimi wenye kuleta foleni mara nyingi ni wateja wanaohitaji kutoa pesa ndogo ndogo mpaka shilingi elfu tano.Sasa hawa hawana sababu tena ya kutumia huduma za kibenki.Suluhisho lipo kwenye huduma za simu za mikononi mwao.

Sasa hivi tuna M-Pesa na Tigo-Pesa.Kwa huduma hizi vituo vya kupatia pesa ndogo ndogo vitakuwa kila pahala kwenye mawakala wa mitandao hiyo;ya Tigo na Vodacom.

Hii huduma ya M-Pesa kwa mfano ambayo imetangulia kidogo, kwa kule Kenya ina nguvu sana kiasi kwamba maduka mengi makubwa yana vituo ndani yake.Wateja huwa wananunua bidhaa kwa huduma hii bila kuwa na pesa mkononi.
 
Can you access your bank account through Tigo or M-Pesa?
Obviously, you can...i have done it several times with ZAP Services of Zain!

Hakika mimi ni mtumiaji mzuri sana wa huduma hizi za simu, na inarahisisha sana mambo mengi!
Lakini wanakuja kuboa pale wanapokwambia kuwa HAKUNA FLOAT KWA SASA, HIVYO HATUWEZI KUPOKEA HELA ZA WATU!..
Pia huduma hizi zinategemea sana uwepo wa Network, kama ikibuma utaadhirika ukweni!
 
Can you access your bank account through Tigo or M-Pesa?

i dont know about tanzania but in kenya there is a system called M-KESHO which basically transforms you m-pesa agent into a bank. at you local or nearest m-pesa angent you can do most of the banking things like deposit, withdraw, money transfer, pay bills, get loans etc.

these agents these agents help the banks penetrate those areas of the country that were untapped before and save the bank money for building branches and hiring more employees. it started about 4 months ago and already there are 6,000 member with savings worth Ksh900 million. that is Ksh900,000,000 now available in the financial market and that money was not there 4 months ago.

i think it is a brilliant idea because it is a win win for everybody(sort of). the banks get more customers for cheap, much of the population especially in the countryside gets a cheap and efficient way to save money(instead of a matress), helps the govt achieve the goal of having the maority of the population get access to banking which in turn adds more money to the financial market increasing the market liquidity hence there is more money going around which is a vital thing if a country is to develop.

 
Last edited by a moderator:
Mwenye Tariff za tigo Pesa atuwekee maana hawajaweka kwenye website yao like voda and Zain
 
Nafikiri hii inasaidia sana kuondoa adha ya haya mambo ya foleni maana kuchukua hata 10,000 benki ishu foleni mpaka basi lakini kama alivyosema PJ hii inategemea na uwepo wa network pia kama network ikikata basi ni ishu
 
Hata hivyo hizi huduma zina kasoro kibao.Karibuni tuzijadili.
 
Ivi, katika suala zima la kodi... Wanalipa as a financial institutions au kama mitandao ya simu kama kawaida!?
 
Ivi, katika suala zima la kodi... Wanalipa as a financial institutions au kama mitandao ya simu kama kawaida!?
Hapo sasa daaaaaaahhh!!nimeshaanza kujona mjinga sana ,,,jamani tuelewesheni wenye kujua kama tunaibiwa tuachane nao!!lol
 
Hapo sasa daaaaaaahhh!!nimeshaanza kujona mjinga sana ,,,jamani tuelewesheni wenye kujua kama tunaibiwa tuachane nao!!lol

Wanasajiliwa kama financial institutional na wako chini ya BoT kama banks au financial Inst zingine na wana limit kwa wateja kutuma na kupokea kwa siku!!niliwahi uliza kwa maafisa wa BoT
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom