Tigo nomaaaaa

Junior. Cux

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
5,319
3,767
dah hawa jamaa wameua kabisa dk 15 tgo-tgo, sms 100 plus MB 50 siku nzima kwa only tsh. 450.!!! na hii likizo yangu mpka vidole viote sugu, usisahau kunipm namba yako nikuadd kwenye chat rum...
 
Kumbe tigoo!, nimeingia nikidhani ni 'tigo' nichangie kwa kirefu. ungenitambua.
 
dah hawa jamaa wameua kabisa dk 15 tgo-tgo, sms 100 plus MB 50 siku nzima kwa only tsh. 450.!!! na hii likizo yangu mpka vidole viote sugu, usisahau kunipm namba yako nikuadd kwenye chat rum...

0717800880, ushindwe mwenyewe kunitext. Hapa kwenyewe natakata na furushi lao.
 
Wameiga kwa ZANTEL, tena wenzao wanatoa SMS 300 + Huduma nyingine inaitwa sijui RBT yaani ni cheap kinoma kwa jero unaongea kama dk.45 hivi achilia mbali zile dk. 15 walizokupa
 
me cku airtel wakiondoa huduma ya kifurush cha internet kwa 2500 kwa mwez kwisha hbr yangu. ndo utakvwa mwsh wangu jf make kupata access ya comp ni issue
 
me cku airtel wakiondoa huduma ya kifurush cha internet kwa 2500 kwa mwez kwisha hbr yangu. ndo utakvwa mwsh wangu jf make kupata access ya comp ni issue

walishaondoa mbona yani ulichonacho kikiisha inabidi uchukue 25MB-1500 au 150MB-6000.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom