Tigo ni wezi

Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
13,160
10,007
Wakuu,natujadili wizi nwa Tigo,mie sio kama nawaharibia Biashara yao,ila Dah, hawa Jamaa ni Kiboko yani,Full Waiz

Wakuu,natujadili wizi nwa Tigo,mie sio kama nawaharibia Biashara yao,ila Dah, hawa Jamaa ni Kiboko yani,Full Waiz

Great thinker Brano,
Nilidhani ungeeleza wanajamvi
tiGO wamekuibia Nini katika huduma ipi na lini, Nadhani hapo ingekuwa ni starting point ya huo mjadala unaotaka otherwise sred yako imekaa kimajungu zaidi!

Kukanusha hilo ni vema ukawa specific na Ulichoibiwa na si ku-generalize.

Kwa upande wangu najua Tigo ni wezi tangu siku nyingi nimeacha kuitumia line yangu..cha kwanza hawatozi kutokana na matangazo yao eg nusu shillingi wakati in actual facts wanatoza sh 6 mpaka 4 kwa sekunde. Infact Tigo ni mtandao unaotoza gharama za juu kuliko mitandao yote ya mawasiliano Tanzania kwa sasa.. wezi tu!

Great thinker Brano,

Nilidhani ungeeleza wanajamvi tiGO wamekuibia Nini katika huduma ipi na lini, Nadhani hapo ingekuwa ni starting point ya huo mjadala unaotaka otherwise sred yako imekaa kimajungu zaidi!

Kukanusha hilo ni vema ukawa specific na Ulichoibiwa na si ku-generalize.

mia

Elezea tigo wamekuibia nini? Mbona hujibu. Kazi majungu tu.

tiGo ni WAIZI,....na sio wao tu ila wao(tigo) wanaongoza kwa kuiba (kamali)
Ukikopa hela,say 800/= na ukapiga simu say dakika moja tu inakua imeisha,...
still bila aibu wanajitangaza eti sh.1 kwa sekunde?

Agggr,sitaki kuandika sana nitapewa ban maana nimeona hii topic nimekumbuka
uwizi wao

Sasa hivi wanamchezo kama unatumia internet kila asubuhi wanakata kifurushi unachotumia kama simu ina hela tena bila wewe kuomba.huu si utaratibu kwa kuwa hujui hiyo fedha iliyokuwepo ninaihitaji kwa kiasi gani?

lakini matangazo yao husema nusu shilingi baada ya dakika ya kwanza, kwa maana hiyo ile dakika ya mwanzo wanakubamiza vilivyo

Great thinker Brano,
Nilidhani ungeeleza wanajamvi
tiGO wamekuibia Nini katika huduma ipi na lini, Nadhani hapo ingekuwa ni starting point ya huo mjadala unaotaka otherwise sred yako imekaa kimajungu zaidi!

Kukanusha hilo ni vema ukawa specific na Ulichoibiwa na si ku-generalize.

Na pia aongeze ni kwa namna gani wamemwibia!

Nadhan Baadhi ya wadau wamenisaidia sana kuulezea wizi wa tigo, Hawa Jamaa sio Waizi tu bali ni Malaghai pia,kile wanacho advertise sio wanachotoza,
Ushahidi Usiku wa kumakia leo niliweka 2000, cha ajabu nimeamka asubuhi nikakuta 1880, Huu ni wizi coz hata siku tuma hata sms,jaribun na nyie muone wizi wa hawa Jamaa, aisee TCRA inabid waingile kati.
Tigo ni Waiziiiii, Thieves

Kwenye website ya TCRA kuna fomu la malalamiko, inabidi uijaze hiyo fomu then copy moja uwapatie TIGO na copy nyingine TCRA.
Wengi wamechangia kuonesha ni maeneo gani TiGo wanaibia watumiaji wa huduma zao, binafsi pia nina nia ya kuwashtaki. Ninakusanya ushahidi wa kutosha ili nijenge hoja yenye nguvu nitakapoanza mvutano nao mpaka wata- surrender.
Sehemu zifuatazo zinawizi wa waziwazi;
I) Matangazo yao ni misleading; kiasi wanachodai wanatoza kwa sekunde sio sahihi hata kidogo. Tafuta stopwatch afu fanya timing ya calls zako utagundua hilo.
II) Kwenye huduma za internet bundles, kwanini ile bando ina expire na kufuatwa hata kama hujatumia internet? Kwa nini balance isiwe carried forward? Zile data unazonunua ni cash equivalent so huwezi kujiamulia ku-delete pesa ya mtu.
III) Ule mkopo wanaotoa huwa huchukua muda mfupi mno kuisha compared na kama utanunua airtime kwa njia ya kawaida.
III) Ukipiga simu call centre wanakukata sh. 100 kama sijakosea. Lakini simu yenyewe mpaka ije ipokelewe ni shughuli, so is not worth to pay them your buck while the customer service is poor.
III) Jambo lingine ni disturbance itokanayo na kutumiwa tumiwa message zao za kukuhamasisha ushiriki promotion zao. Hizi msg zimekuwa zikiwachangana sana watu wasio na uelewa wa bahati nasibu na hivyo kujikuta wakipoteza pesa nyingi bila kushinda.

na pia ni wadhamini wenu humu Jf! tangazo mwaliona hapo chini... hebu wapake mafuta angalau kwa mgongo wa chupa

tiGo ni WAIZI,....na sio wao tu ila wao(tigo) wanaongoza kwa kuiba (kamali)

Ukikopa hela,say 800/= na ukapiga simu say dakika moja tu inakua imeisha,...

still bila aibu wanajitangaza eti sh.1 kwa sekunde?

Agggr,sitaki kuandika sana nitapewa ban maana nimeona hii topic nimekumbuka

uwizi wao

YAANI MI NIMESHAJITOA HIYO HUDUMA,UKIKOPA UKIWEKA SALIO WANAKATA HELA YAO HALAFU ILE ILIYOSALIA YA MKOPO WANAIKOMBA PIA.

Kwa kweli Tigo wanahitaji kubadilika!!!! Uswahili umezidi kwa kweli..

Nakushauri ujaze mapesa simu yako kwa matumizi ya muda huo huo tu. Kuna kaujambazi kengine, ukiweka pesa kama 5000 ukapiga simu moja kwa kama dk 2 hivi, utashangaa sms inaingia kukujulisha kuwa salio lako ni chini ya shs. 30

Poleni wanyonge wa TZ, hatuna wa kututetea.

Msaada jinsi ya kujitoa huduma ya kukopa TIGO .

Back
Top Bottom