Original Pastor
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 1,274
- 50
Kwa kutumia hizo 'hisabati' zako unataka kuniambia bei ya kupiga simu Tigo bado ni shilingi 1 (kwa sababu 0.5 is approximately 1)? Kama ni hivyo why the hell should they shout thumuni, thumuni? Be careful with maths my friend!
Naomba jibu sahihi la hii hesabu 0.5(thumuni) + 0.5(thumuni) = Voda na kampuni nyingine.
Mtu akikwambia anatoa 0.5 kwa dk kwahiyo ukipiga dk2 ni sawa na Voda?? au ni Approximately??