Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,983
- 12,702
Imetolewa jana kwa hiyo usiwe na wasiwasi kuwa ni foolish day.nitaamini hii habari kesho...leo no
Imetolewa jana kwa hiyo usiwe na wasiwasi kuwa ni foolish day.nitaamini hii habari kesho...leo no
Imetolewa jana kwa hiyo usiwe na wasiwasi kuwa ni foolish day.
mkuu unaongea masaa mangapi kwa siku?? 20hr halafu 0.5 tsh per second hazikutoshi?? you must be kiddin!!!!
Voda changa la macho eti kuanzia saa 11.00 jioni hadi saa tatu bei kama ya zamani wapi na wapi wezi wakubwa hao
Mambo yapo tiGO bwana
mshikaji unataka kuanzisha ligi au?? get your facts straight mkuu!!
Madai yako sio ya kweli. Huduma kwa wateja kwa Tigo unalipia shilingi 100 ndipo unahudumiwa, huwa inapatikana kila wakati. Hali ni mbaya sana Zain, kwenye upande wa huduma kwa wateja. Usikivu wa Tigo hauna matatizo. Simu zinapatikana muda wote, unless unayempigia awe amezima au hana network.Tigo bei rahisi lakini upatikanaji wa simu, usikivu, customer care ni matatizo makubwa.
Amen!safi sana ombi langu kwa mungu ni hili eeh mungu ushindani huu usiichie kwenye makampuni ya cm tu yaanzishwe na tanesko pia amen
mmmh.....nangoja kwanza....hata leo asubuhi nimeisikia redio one lakini nitaamini vizuri kesho
kweli, niliwahi kutembelea baadhi ya vijiji vya Makete..huko ilikuwa tiGO tu wengine walikuwa hawapatikani...it was strange...mnapobanwa mbavu lazima mtafute visingizio ... usisikilize uzushi mkuu (vodacom propaganda), hayo mambo mbona ni historia mkuu?? me huwa nalonga tu bibi na babu zangu upcountry bila matatizo yoyote yale ... halafu kichekesho hicho kijiji voda huwa haipatikani .... phuuuh ha ha ha ha ha!
Kama umesoma Hisabati unaelewa kuwa kubwa au sawa na 0.5 inakadiriwa kuwa 1. ndio maana 20 hours inakadiriwa kuwa siku nzima.Kwenye radio wanasema siku nzima! to me, siku nzima ina masaa 24 na sio 20! the same hata matangazo ya Voda (ya radio/tv) yalikuwa vivyo hivyo! i know wanamalizia kwa kusema 'terms and conditions apply' lakini huu ndio nauita usanii!
Kama umesoma Hisabati unaelewa kuwa kubwa au sawa na 0.5 inakadiriwa kuwa 1. ndio maana 20 hours inakadiriwa kuwa siku nzima.
Kumbe nao wasanii tu kama voda!
tigo walianza kupoteza revenue walipoanza kurudisha garama ktk huduma nyingi, mara wakaongeza bei ya extreme, mara wakafuta extreme wakaja na ka upuuzi wa mini extreme, na tariff za kupiga tigo kwenda mtandao mwingine ndhan inabaki palepale sh.12 kwa sekunde, still warudishe huduma zile zingine, nadhan toka kelvin twisser aondoke upande wao wa marketing umekua dhaifu nadhan watamkumbuka yule mshkaj, aliinua sana tigo ila tu kwa vile alikua mswahili hakupata sifa anazostahili!
mshikaji unataka kuanzisha ligi au?? get your facts straight mkuu!!