Tigo ni matatizo matupu jamani

peoples power

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
475
100
Níko bukoba hawa tigo sijuwi wana matatizo gani yaani hawako onair kwa zaid ya masaa manne hii ni shida sana.
 
nasikia kuwa siku hizi wameacha kutoa huduma ya kutuma meseji, maana ukituma sms haziendi kabisa
 
Mmelisha limbwata na Tigo? Kila siku kulalamika tu! Hameni....
 
Bukoba wazee wa katelelo..huu mtandao wa tigo waachieni maustaaz wa pwani ndio wanauwezea.
 
Niko mwanza sasa hivi na mtandao wa tigo umekata kwa takribani masaa matano!
Na hii si mara ya kwanza,mara ya mwisho ilikua juzi tu,hardly a week!
Hata sjui kwann hawajifunzi na kujirekebisha!Stupid and pathetic Tigo!
 
Sio huko tu, sgd umekata toka saa kumi na mbili kasoro ya jion na umerudi saa nane usk hata cjui wana matatizo yepi hawa jamaa
Nilidhani shida ni sgd tu, kumbe nchi nzima? NIPO SGD kwa leo. TIGO! hopeless yourself! Hii ni kauli mbiu yao mpya.
 
Níko bukoba hawa tigo sijuwi wana matatizo gani yaani hawako onair kwa zaid ya masaa manne hii ni shida sana.
Hao jamaa sio tu kuwa ni tatizo tu ila ni wezi. Ukipiga unakuta mtu hapatikani. Halafu yanakuja maelezo ya kiingereza ambayo wengihatuyaelewi, "the number you are calling is not reachable, to send a voice mail at regular call charges please stay on line",SIO WIZI HUU?
 
Back
Top Bottom