Tigo na wimbo wa "emungu angalia kunena kwangu wana ajenda gani?

dostum

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
215
110
Notoa malaliko kwa herufi kubwa kwa tigo wameniwekea wimbo wa kwaya wa hapo juu. Mimi si muumini wa nyimbo hizo na hata kama kwa kutojua nikajiunganisha sio neno. Nimekwenda kwa mawakala wa tigo wa j m mall, quality centre na hata mlimani city kuwaomba waondoshe, wananijibu wameondosha lkn bado unaendelea.

Tigo acheni ujinga huu, na biashara ya kulazimishana,
 
Notoa malaliko kwa herufi kubwa kwa tigo wameniwekea wimbo wa kwaya wa hapo juu. Mimi si muumini wa nyimbo hizo na hata kama kwa kutojua nikajiunganisha sio neno. Nimekwenda kwa mawakala wa tigo wa j m mall, quality centre na hata mlimani city kuwaomba waondoshe, wananijibu wameondosha lkn bado unaendelea. Tigo acheni ujinga huu, na biashara ya kulazimishana,
acha kulalama uliza usaidiwe, send "ondoa" kwenda 15050
 
ha ha majibu ya yanafurahisha sana nimejaribu zaidi ya mara 10 kuwake iyo code "ondoa" bt imeng'ang'nia tu sijui nifanye nn. na leo wameniweka taarabu, natamani kuwashitaki
 
ha ha majibu ya yanafurahisha sana nimejaribu zaidi ya mara 10 kuwake iyo code "ondoa" bt imeng'ang'nia tu sijui nifanye nn. na leo wameniweka taarabu, natamani kuwashitaki

Kwa kifupi hizi kampuni za simu wanakera...Hata mie sipendi huo upuuzi wa nyimbo kwenye simu yangu siku moja Voda nao wakaniwekea nikapiga customer care wakaniambia ni mimi nimejiunga nilimjia juu nikamwambia atoe huo upuuzi kwenye simu yangu kabla sijawashtaki kwani wao wenyewe nikiwa hata sijatuma request yeyeyote (kwakuwa sipendi) waliniletea msg eti umefanikiwa kujiunga....nashurkuru mungu walirespond immediately.
 
Mademu zenu wamewawekea wakati mnaoga
 
ha ha majibu ya yanafurahisha sana nimejaribu zaidi ya mara 10 kuwake iyo code "ondoa" bt imeng'ang'nia tu sijui nifanye nn. na leo wameniweka taarabu, natamani kuwashitaki

Mapovu ya nini?? Hamia huku..(Umeshansoma?????)

Red-bus-Inn-600x323.jpg
 
Mie TIGO wameniibia hela zangu za umeme sina hamu nao kabisa. Nilinunua umeme toka mwezi wa 5 kwa TIGO PESA mpaka leo sijapata umeme wangu na ukienda kuulizia wanakusumbua sana. Nangoja muda upite kdg maana nina ushahidi niwashtaki. Natafuta utaratibu mzuri wa kuwadai fidia na riba.
 
Sasa gharama ya kesi ndugu si zaidi ya unachodai?? Au ulinunua umeme wa milion 40??

Tigo kweli wanatafuta balaa sasa nyimbo kama hiyo ikiwa kwenye simu ya maalim ponda si ataandamana kwenda kufunga ofisi zao.
 
mwenye ule wimbo wa" I love you Africa" wa coca cola naomba unidondoshee hapa. Nataka niupendekeze uwe kwa ajili ya Anthem ya AU
 
Tigo kweli wanatafuta balaa sasa nyimbo kama hiyo ikiwa kwenye simu ya maalim ponda si ataandamana kwenda kufunga ofisi zao.

ni kweli ! Maana nyimbo nyingi ni za dhihaka kwa Mungu na Mitume wake !
Mfano ule mwimbo -''wa utamu wa Yesu'', dhihaka na mzaha mtupu !
 
hawa jamaa wezi bwana mi nimeshawahi enda mara kibao nawambia nitoeni kwenye hudumu zenu wanakwambia tayari unaondoka kesho ngoma inaanza tena
 
Mitandao yote ndugu, mimi mwenyewe Airtel walishawahi kuniwekea wimbo, mi nkawa nashangaa nkiweka hela wanakata, dawa yao nkawa naweka hela pale nkiwa na shida na mtu wa no. ya Airtel na nahakikisha napiga hela yote inaisha baada ya miezi kama miwili hivi mbona waliondoa? hao tigo mimi wananiudhi na hiyo misms yao kila wakati, mtu hupumui, usiku wa manane unatumiwa sms kuangalia Tigo!!! wanaudhi kweli.
 
Back
Top Bottom