Tigo na neno la Mungu

Asante

JF-Expert Member
Dec 18, 2009
2,084
1,076
Siku ya jumapili tarehe 09 Mei 2010 saa 7:50:36 nilipokea ujumbe wa simu kutoka tigo.

Ujumbe wenyewe ni huu hapa:

Pokea neno la Mungu kwenye simu yako ili uiue busara ya biblia! ......
Sikujuwa ujumbe huu ulikosewa au vipi. Nilitegenea tangu juzi wagetuma ujumbe mwingine kuomba radhi lakini hadi sasa bado wako kimya kabisa.
 
mimi waliniletea maneno ya kuran, mbona nusura nitupe iyo lain..walinikera kupita kiasi...wanafikiri kila mtu ni mfuasi wa mwamed. yaani watu wa tigo wanihubirie mimi, hayo maneno wamepata wapi kwanza...
 
Pokea neno la Mungu kwenye simu yako ili uiue busara ya biblia! ......
mafirauni watupu, hilo wamekusudia kabisa ikiwa hawajaomba radhi hata leo, Lakini ukweli utabaki palepale Hakuna wa kuiua Biblia, mavitabu yote ya mikataba shetani na wanadamu inpita lakini Biblia iko pale pale, milele
 
Siku ya jumapili tarehe 09 Mei 2010 saa 7:50:36 nilipokea ujumbe wa simu kutoka tigo.

Ujumbe wenyewe ni huu hapa:

Sikujuwa ujumbe huu ulikosewa au vipi. Nilitegenea tangu juzi wagetuma ujumbe mwingine kuomba radhi lakini hadi sasa bado wako kimya kabisa.

I think it is just a mistake. It can happen. Si kwamba nawatetea. Ingawa inawezekana walikuwa na nia nzuri si vizuri kwa wao kutuma sms za dini kwa wateja wao maana hawajui religeous status ya wateja. Wengine wana majina ya kiislam lakini ni wakristo and viseversa.
 

Kitabia cha Tigo kinachonishangaza zaidi ni pale unapojisahau unapiga simu wakati vocha imekwisha. Tigo wanatanguliza ujumbe haraka sana kwa yule uliyempigia kumwamwambia Tindikali kajaribu kukupigia kashindwa tafadhali mpigie, hana kitu ...! Wanadhani kila mtu anahusudu mpango wa ku bipu bipu watu ovyo ovyo na kumjulisha kila mshkaji, ndugu, mwajiri, mchumba, kwamba umefulia unataka wao ndio wakupigie simu. Aaaah! Unajikuta umem-bipu bibi yako kijijini ambae anategemea wewe ndio umtangulizie kitu kidogo. Likampuni limekaa kiswahili swahili....
 
tatizo la waafrika tumeshagawanywa na wazungu,ona sasa tunataka kugombana kwa ajili ya dini za wenzetu tunasahau dini zetu za asili ambazo babu zetu wametuachia,huu ni ulimbukeni wa fikra na mawazo.
Mbona wao hawana ushabiki wa aina hii,jamani tumepungukiwa nini katika mila zetu?shuri yenu mimi tabaki na imani yangu hadi mwisho hamtanisikia kwenye uislam wala ukristu na laana zitawapata nyie hao hao
 
Siku ya jumapili tarehe 09 Mei 2010 saa 7:50:36 nilipokea ujumbe wa simu kutoka tigo.

Ujumbe wenyewe ni huu hapa:

Sikujuwa ujumbe huu ulikosewa au vipi. Nilitegenea tangu juzi wagetuma ujumbe mwingine kuomba radhi lakini hadi sasa bado wako kimya kabisa.

Typo error hiyo....anagalia keyboard yako...herufi i na j ziko next to each other...walimaanisha uijue sio uiue....biblia haipumui na haiwezi kufa
 
..kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, wafuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao. Warumi 1 : 24. .....Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi yao ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili. Warumi 1 : 26
 
Kinachoshangaza zaidi ni kwamba hizi systems zinaruhusu customization, kwamba watu wa opt in or out of receiving religious messages, na messages za dini gani, au watu wa opt in or out of automatically notifying callees of their credit status etc.

Lakini watu wana install systems out of the box, hata hawaweki customization.Worse still watu hawa demand customization.

Ingekuwa nchi nyingine unatuma jumbe jumbe za kidini watu wengine hatuamini mambo ya dini, tunakupiga lawsuit ya harassment na psychological torture, claiming millions of dollars if only to teach a lesson and set precedents.

Inatakiwa bongo tuanzishe system hii.
 
Back
Top Bottom