Tigo mtazigarimu ndoa za watu jamani embi badilikeni basi!!

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Inasikitisha sana tangu tigo ianze kuwa na matatizo ya netweork uaminfu kwenye ndoa umeanza kuwa mchache hata kwa wale waliokuwa na uaminfu ndani ya miaka 4..inashangaza kuona jamani mke anatuma msg hny uko wapi umeshakunywa asbh inaingia wakati umefunga file to hme...huku kashaandika msg kibao mbona upatikani uko wapi jamani

ukimkuta alieamua kubali yaishe anasema jamani kumbuka na condom mpenzi wangu maisha ni mafupi lakini jinsi gani unaondoka hiyo nayo inamatter hakika unacheka hoi....

Embu tubadilke jamani kama mmeshindwa mseme watu wahame ati mtandao wenu umefanywa nini mnatutia aibu kuhatarisha ndoa na maisha ya watu kumbukeni wanawake wengine awajui kusubiri anakunywa sumu anajimaliza unakuta barua hny nimechoka kila siku nikipga upatikani ni yako peke mbaya unaweza piga simu sehemu nyingine simu ikaita inakuwa inawachanganya sana mabinti wetu je nani ananilia msheduede wangu jamani

embu tubadilke tunawapa 72 hrs
kuanzia sasa
 
Ingawaje situmii mtandao wa tigo lakini uliyoyaandika ni ya kweli maana nawasikia marafiki zangu wakilalamika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom