Tigo messages kwa Tsh.1 kwa kila sms 1.

GODON SPEE

Member
Jan 15, 2012
20
4
Yap yap!hapa hakuna bure bali husaidia kupunguza gharama kwa wale 2naopenda kuchat sms,well then mpango ni hivi.wote 2nafaham dat tigo unapo2ma sms 10 wanakupa sms 200 bure,2kizingatia kuwa kwa bei ya kawaida ya sms ni tsh 49 kama sikosei.sasa hapa ili kupunguza cost ni hivi 2naweza pata hizo sms 200 kwa ku2mia tshs.200,kivip?mpango ni kuactivate text kwenye facebuk yako na kutext wa2 kumi kwa message za facebuk kwenye simu ambazo hucost tshs.20 kwa kila moja hivyo sms 10 itakuwa sawa na shs.200 na kufikia hapo tigo hawatakuwa na sababu ya kukutosa sms 200.japo hujalipa sawa na yule aliye2ma sms kwa namba za simu na sio fb.Haleluya!hapo sh200 yako itakuwa ina2mika ku2ma hzo sms 200 uzopewa hvyo utakuwa una2mia sh.1 kwa kila sms 1.am done nahtaj maon yenu
 
we umewah jarbu? Coz c dhan kam iyo promo ya sms 10 imehusisha na fb sms..
 
Thanx alot bro, nimezipata txt 200 kwd tsh 200 tu!! DANX AGAIN BRAH!!
 
Haha!Dah,you are the best mkuu.Merci!Kitu kilitiki nkasahau mpaka kuja kutoa thanks na feedback!
---Believdat---
 
Kama itakubali basi gharama itakuwa ni sent 95 au sh 0.95 na sio sh 1. Maana utakuwa ume2ma jumla ya msg 210 kwa gharama ya sh 200. So ukigawanya hapo utapata kila msg ni sent 95. Ila tigo wakigundua hili jambo naona watabadili VIGEZO NA MASHARTI.
 
hahaha jaman thanx kwa fdback zenyu 2endelee kupeana maujanja kama haya me i lyk dat much.so hicho ndo nchokigundua na nategemea mungu anipe mengne na awape nanyi 2peane sote.hehehe sema kwel tigo wakigundua watachange vigezo na mashart bt am sure kuna trick nyingne 2tawatrap tu
 
Mi cjaelewa jamani,naomba mnisaidie hzo msg za fb unazitumaje,?unazituma kama private massage ama inakuaje?mi natumia line ya voda lakin ya tigo pia nnayo so naomb njia zote hadi kufikia hapo,ntashukuru.
 
kama upo facebook,bas nenda kwenye accnt yako ya facebook katika sehem ya setting kisha mobile utakuta sehem inaitwa text messages chakufanya activate watakuletea uchague nchi yako kisha mtandao wako alaf ukishachagua itakuja sehem ya kujaza codes na jins ya kupata hzo codes ni kwamba unaenda katika cmu yako sehem ya sms unatuma neno fb kwenda 15666 ndo watakutumia codes kisha unazijaza kwenye ile shehem ya facebook ilotaka codes then unaactivate na had hapo utakuwa ushajiunga tayar.fresh kama uta2mia computer afu pemben una cmu yako kwaajili ya kupata hzo codes
 
Back
Top Bottom