Tigo matapeli-msaada wa wajameni_nikiweka hela kwenye line yangu ya tigo inakata hela

jmura

Member
Apr 27, 2010
57
9
wadau naombeni msaada nikiweka hela kwenye line ya tigo inakata hela na kuniambia umejiunga na internet megaboksi sikujiunga nao wala nini. nifanyeje niweze ku-unsubscibe na hiyo service yao.
Tigo ni matapeli nini!!
 
jmura, uko kwenye auto renewal,
tuma neno ONDOA kwenda namba waliyokutumia kwamba umejiunga, vinginevyo kila ukiweka hela ujue wanakuvizia.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom