Tigo Kuweni wastaarabu

TiGO kumbukeni mlipokuwa mobitel, kitu gani kiliwatokea walipokuja VODACOM? mpaka sasa voda anawateja kibao! Mlikuja vizuri kama TiGO sasa sifa zimewalevya au mishahara haiwatoshi? Nadhani kuna Management Crisis ndani ya TiGO, tutawapotea... Mke wangu hataki tena habari ya TiGO yupo Airtel... You are very boring tigo, very very boring!
 
tigo wanaboa oh shiling kwa sekunde wakati wanatoza 1.61 kwa sekunde huu ni wizi, hela yao yakukopa inaisha haraka sana afu kuna kitu wanakiita xtreme kanda ya ziwa ajabu ukiwa mwanza unaambiwa iyo huduma huwezi kutumia sijui mwanza ni kanda gani?
 
Sometime even us we have to Think, What is Tshs.50.00 kama umepata huduma nzuri? au usipate kwa Tshs.
50?

Watanzania mmezoea kuibiwa mpaka mnataka kujustify wizi kwamba kama unaonekana mdogo siyo issue! unajua ni wangapi wanokatwa hiyo 50 unayoiona ndogo? jaribu tu kufanya watu 1,000,000 wanaomba msaada customer care say in 2months ( i.e 1,000,000 x 50=50,000,000!!! kwa mwaka 50,0000 x 6=300,000,000) ni ndogo hiyo mkuu?.Mbaya zaidi inakatwa bila mteja kujua kabla hajaitumia hiyo huduma.
 
Back
Top Bottom