TIGO- Kampuni ya simu inayokufa kimya kimya

MAGEUZI KWELI

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
1,947
253
Hii ni mara ya pili huu mkampuni wa simu unapoteza network bila maelezo wala kuombana radhi..Watu wanaitumia kampuni kwa malengo mengi ikiwa sasa ni bank ya mkononi pia.
Zanzibar tangu jana hakuna kitu kinaitwa Tigo network zaidi ya kuona mabango barabarani..
Iz crezy end i am fedap on dhis kampany....
 
Duh! Amakweli Tanzania tuna laana!Yaani hadi ka-nchi kadogo na masikini kama TOGO kameweza kuwa na mtandao wake wa simu na kamewekeza hadi Afrika mashariki? Magamba watatuua aisee!! Mkuu huu mtandao una muda gani tangu uingie Tanzania?
 
Mkuu mbona hata Vodacom siku hizi inapotea hewani sana. Unapiga simu unaambiwa namba haipatikani au iko busy wakati siyo kweli. I experienced this mostly in Arusha sijui kuna nini kule..mitandao naona kama wateja wamekuwa wengi kushinda uwezo wake..
 
Hii ni mara ya pili huu mkampuni wa simu unapoteza network bila maelezo wala kuombana radhi..Watu wanaitumia kampuni kwa malengo mengi ikiwa sasa ni bank ya mkononi pia.
Zanzibar tangu jana hakuna kitu kinaitwa Tigo network zaidi ya kuona mabango barabarani..
Iz crezy end i am fedap on dhis kampany....

Mkuu naona ulisoma st mtakatifu fulani.
 
TIGO will always be number one network,
utasema weee oohh TIGO inakufa lakini you know yourself huwezi hama TIGO,
Because TIGO is most friendly network in TANZANIA!
 
sema waliniuthi jana baada ya kuniunganisha kwenye extreme bila mimi kuomba hii huduma na kutoza 450tsh.waliniboa sana
 
Mkuu mbona hata Vodacom siku hizi inapotea hewani sana. Unapiga simu unaambiwa namba haipatikani au iko busy wakati siyo kweli. I experienced this mostly in Arusha sijui kuna nini kule..mitandao naona kama wateja wamekuwa wengi kushinda uwezo wake..

Kweli mkuu.
 
Jamani TIGO kupitia facebook page yao wametoa taarifa toka jana kuwa Zanzibar matatizo ya network yanashughurikiwa.
Kampuni haifi kiaina bana

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
nakubaliana na mtoa mada hii kampuni wamejisahau siku hizi huduma zao zinakera sana kwa sasa ni jambo la kawaida kupotea kwa network kuna siku cm hazikupatikana zaidi ya saa 10 kesho yake wakasema watatufidia muda wa maongezi hadi leo haijafanyika. pia wana manyimbo ya ajabu ajabu sana unakuta unampigia mtu gafla unasikia music unadhani cm inaita wanakwambia haipatikani , unaweza piga hata cm na hukou unaiona halafu unasikia namba iko bizy
 
kuna kampuni kubwa ya simu inakuja inaitwa 4G mobile inamilikiwa na akina kalamagi inakuja.itakuwa moto chini.
 
kuna kampuni kubwa ya simu inakuja inaitwa 4G mobile inamilikiwa na akina kalamagi inakuja.itakuwa moto chini.[/QUOTE
Bila shaka kutokana na mapato ya migawo yake toka mikataba feki aliyosaini alipokuwa waziri! Uzuri kwake ni kwamba anakula na wakulu wa nchi vinginevyo angeshavimbiwa ila siku zake zinahesabika za kujibu madhambi ya kuanzia TICTS hadi ile mikataba ya kitandani I mean Guest Houses za Uingereza.
 
Mkuu

Kuna mkakati mkubwa sana umeandaliwa kuua makampuni mawili ya simu TIGO na Zantel.

Nianze na Zantel, airtel na Vodacom wamepata hasara sana (kwenye voice ila wamefanya vizuri kwenye data na emoney) chanzo cha yote ni Tigo na Zantel kupunguza bei hadi kupitiliza lower ceilling ya costs zao hivyo kuooperate kwa hasara ( MR=MC) tofauti na hapo awali.

TIGO amekuwa market driver kwenye voice na kulazimisha mitandao mingine kufuata kwa lazima hata kama wanapata hasara. walichofanya Voda na Airtel kwanza kununua matangazo mengi kwenye Radio, TV na print media na kutengeneza matangazo yanayomshambuli moja kwa moja Tigo (through colour branding). pili subottage ya systems zake mpka Tigo wakati fulani akasalimu amri na kulegeza mashart ndio akaongeza tena rate kuwa sawa na mitandao mingine baada ya kujua mpango huo.

Kuhusu Zantel kupitia matangazo yake na rate yake 2.5cents per second kwa mitandao yote imekua tatizo kubwa sana kwa Voda na Airtel pamoja na Data bundle zake ni cheap comparatively. Mkakati uliopo ni kumuongezea kodi ya pango la minara maana amepangisha kwa Vodacom. wanajua atapandisha gharama wawe at per.

Vodacom na Airtel seriuosly wataka kuondoa competition kwenye sector ya simu na kama serikali haitafanya kazi yake kupitia regulatory authority in the next three years utaona lazima one of the two aondoke sokoni
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom